Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Kwahiyo hoja kuwa hajawahi kuwa kwenye benchi la madrid ni mfu sio?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Uwe unasoma mada na kuelewa. Mleta mada anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya kikosi cha Real Madrid na mada haikusema kuwa anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa sehemu ya benchi la Madrid.
 
Mkuu ni mfu na wivu wa kike wa watu wa Utopolo
Mada inasema kuwa Pablo hakuwahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid. Na haikusema kuwa Pablo hakuwahi kuwa kwenye benchi la Real Madrid. Muwe mnasoma na kuelewa mada kabla ya kuchangia
 
Una uhakika ni hivyo?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kwani wewe kusoma haujui?
Namnukuu mleta uzi " Naweka rekodi sawa, je Pablo Franco Martin amewahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid?
Mwisho wa kunukuu.
Mada ni juu ya ukocha usaidizi wa Pablo Franco Martin ndani ya real Madrid na wala sio Uwepo wa Pablo Franco Martin ndani ya benchi la Madrid.
 
Honestly nmeisumbua sana Google kuhusu hili sijafanikiwa kupata jibu
 
Kwani wewe kusoma haujui?
Namnukuu mleta uzi " Naweka rekodi sawa, je Pablo Franco Martin amewahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid?
Mwisho wa kunukuu.
Mada ni juu ya ukocha usaidizi wa Pablo Franco Martin ndani ya real Madrid na wala sio Uwepo wa Pablo Franco Martin ndani ya benchi la Madrid.
Na mimi namnukuu huyo mleta mada
"Inachekesha wakati mwingine. Pablo Franco Martin sio tu hajawahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid bali pia kufanya kazi kwenye sekta yoyote klabuni hapo."

Jichagulie jina.
 
Multiple ID
 
Unachotaka ni nini?
Mtu wa kupoteza nae mda kubishana Bila sababu za msingi?
Cv yake inasema kafanya kazi madrid kama performance analyst na Assistant coach....mainly anaitaja Analyst.
Mkabisha.....
Nimewaletea picha alivyokuwa madrid.....bado unabisha, Nikuulize unabishana nini?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hilooooo limeumbuka na makolo wenzio🤣🤣🤣
 
Unachotaka ni nini?
Mtu wa kupoteza nae mda kubishana Bila sababu za msingi?
Cv yake inasema kafanya kazi madrid kama performance analyst na Assistant coach....mainly anaitaja Analyst.
Mkabisha.....
Nimewaletea picha alivyokuwa madrid.....bado unabisha, Nikuulize unabishana nini?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Acha upumbavu wewe mbumbumbu huyo kocha hajawahi kufanya kazi Real Madrid mjinga wewe
 
Acha upumbavu wewe mbumbumbu huyo kocha hajawahi kufanya kazi Real Madrid mjinga wewe
Hapo alikuwa anafagia?
20211112_172901.jpg

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Haji Manara alisema kweli huko Yanga yamejaa mazezeta tupu wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu. Ushahidi ni haya mayowe wanayopiga hapa jukwaani juu ya ujio wa kocho mpya wa Simba,yaani wanaonyesha zile tabia alizosema Luc kuwa wanachoweza ni kuzomea zomea tu. Nyani wa Utopolo mnatuharibia jukwaa.
View attachment 2006553View attachment 2006554View attachment 2006555
Mmepigwa Mbumbu SC kwa nini hamtaki kukubaliana na ukweli MAKOLO!!!!!?
 
Back
Top Bottom