Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwahiyo hoja kuwa hajawahi kuwa kwenye benchi la madrid ni mfu sio?Lakini Transfer market na Wikipedia wanadai kua alikua Assistant manager
Wamegushi...haahaaa..niliona hata twitt ya Zidane akimtakia kazi njema
Uwe unasoma mada na kuelewa. Mleta mada anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya kikosi cha Real Madrid na mada haikusema kuwa anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa sehemu ya benchi la Madrid.Kwahiyo hoja kuwa hajawahi kuwa kwenye benchi la madrid ni mfu sio?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Mkuu ni mfu na wivu wa kike wa watu wa UtopoloKwahiyo hoja kuwa hajawahi kuwa kwenye benchi la madrid ni mfu sio?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
mkuu yawezekana tumepigwa mbona hata kwenye list ya makocha wa getafe hayupo akati kwenye CV inaonesha?Hamna cha wakenya kutuchezea wala nini......wabongo ni wajuaji sana....
Jama alikuwa madrid kama performance Analyst.
View attachment 2008090
Una uhakika ni hivyo?Uwe unasoma mada na kuelewa. Mleta mada anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya kikosi cha Real Madrid na mada haikusema kuwa anapinga kuwa Pablo Franco hakuwahi kuwa sehemu ya benchi la Madrid.
Mada inasema kuwa Pablo hakuwahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid. Na haikusema kuwa Pablo hakuwahi kuwa kwenye benchi la Real Madrid. Muwe mnasoma na kuelewa mada kabla ya kuchangiaMkuu ni mfu na wivu wa kike wa watu wa Utopolo
Kwani wewe kusoma haujui?
Na mimi namnukuu huyo mleta madaKwani wewe kusoma haujui?
Namnukuu mleta uzi " Naweka rekodi sawa, je Pablo Franco Martin amewahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid?
Mwisho wa kunukuu.
Mada ni juu ya ukocha usaidizi wa Pablo Franco Martin ndani ya real Madrid na wala sio Uwepo wa Pablo Franco Martin ndani ya benchi la Madrid.
Multiple IDNa mimi namnukuu huyo mleta mada
"Inachekesha wakati mwingine. Pablo Franco Martin sio tu hajawahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid bali pia kufanya kazi kwenye sekta yoyote klabuni hapo."
Jichagulie jina.
Mimi nimemsaidia jamaa kuleta hoja baada ya kuona unapotosha ukweli. So ulitaka akujibu yeye tu wakati mnabishana kwenye public?Multiple ID
Hilooooo limeumbuka na makolo wenzio🤣🤣🤣Unachotaka ni nini?
Mtu wa kupoteza nae mda kubishana Bila sababu za msingi?
Cv yake inasema kafanya kazi madrid kama performance analyst na Assistant coach....mainly anaitaja Analyst.
Mkabisha.....
Nimewaletea picha alivyokuwa madrid.....bado unabisha, Nikuulize unabishana nini?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Nimeachana nae.....Mimi nimemsaidia jamaa kuleta hoja baada ya kuona unapotosha ukweli. So ulitaka akujibu yeye tu wakati mnabishana kwenye public?
Acha upumbavu wewe mbumbumbu huyo kocha hajawahi kufanya kazi Real Madrid mjinga weweUnachotaka ni nini?
Mtu wa kupoteza nae mda kubishana Bila sababu za msingi?
Cv yake inasema kafanya kazi madrid kama performance analyst na Assistant coach....mainly anaitaja Analyst.
Mkabisha.....
Nimewaletea picha alivyokuwa madrid.....bado unabisha, Nikuulize unabishana nini?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hapo alikuwa anafagia?Acha upumbavu wewe mbumbumbu huyo kocha hajawahi kufanya kazi Real Madrid mjinga wewe
kama wakenya wametuchezea hivi! naona aibu kuwa mtanzani
Umeunganisha vitu viwili tofauti , shirikisha ubongo
Mmepigwa Mbumbu SC kwa nini hamtaki kukubaliana na ukweli MAKOLO!!!!!?Kumbe Haji Manara alisema kweli huko Yanga yamejaa mazezeta tupu wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu. Ushahidi ni haya mayowe wanayopiga hapa jukwaani juu ya ujio wa kocho mpya wa Simba,yaani wanaonyesha zile tabia alizosema Luc kuwa wanachoweza ni kuzomea zomea tu. Nyani wa Utopolo mnatuharibia jukwaa.
View attachment 2006553View attachment 2006554View attachment 2006555