Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

Kocha wa Real Madrid
Halafu wakala wake ni mkenya!..

Picha linaanzia kuungua hapa.
Au labda siku hizi kagombana na zidane
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3]
 
Na mimi namnukuu huyo mleta mada
"Inachekesha wakati mwingine. Pablo Franco Martin sio tu hajawahi kuwa kocha msaidizi wa Real Madrid bali pia kufanya kazi kwenye sekta yoyote klabuni hapo."

Jichagulie jina.
Chupli chupli za simba zolianza muda mrefu sana sasa
 
Ulitisha muzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…