3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Tumwamini nani internet au mchambuzi hoya hoyaacha uvivu wa kusoma mbona hio ishu ya transfer market ameiongelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumwamini nani internet au mchambuzi hoya hoyaacha uvivu wa kusoma mbona hio ishu ya transfer market ameiongelea
huyo aliyewaita mikia fc jina la makolo fc aka chupli chupli????
Kweli wewe zuzu halafu nyani, mbwa, Uneducated kama kocha wenu luc alivyowaitahuyo aliyewaita mikia fc jina la makolo fc aka chupli chupli????
poor minded person kaangalie bechi la ufundi la real madrid kuanzia 31 julai 2018 huyo kocha "wenu" hayupo
Vipi wewe high minded person unataka kubishana na internet?poor minded person kaangalie bechi la ufundi la real madrid kuanzia 31 julai 2018 huyo kocha "wenu" hayupo
achana na transfer market kakaa nenda kwenye source za real madrid cf wenyew ukaone kama huyo kolo aliwahi hata kukatiza mitaa hiyoKweli wewe zuzu halafu nyani, mbwa, Uneducated kama kocha wenu luc alivyowaita
Tulia kwanza![]()
Real Madrid confirm Julen Lopetegui's backroom staff
After the departure of Zinedine Zidane, there was an exodus with him and Antonio Pintus is the only member of his staff that remains on the Real Madrid bench.en.as.com
Huyo Pablo Sanz, sio huyo Pablo wenu, kuweni makini
kwani wewe huwezi ku-edit taarifa huko transfer market kakaaVipi wewe high minded person unataka kubishana na internet?
C'mon
Hapa alikuwa chooni? We zuzuachana na transfer market kakaa nenda kwenye source za real madrid cf wenyew ukaone kama huyo kolo aliwahi hata kukatiza mitaa hiyo
hahahaha cv mbovuu leta official statement ya Real madrid cfTulia kwanza
Dawa imeingia kumbe shida sio pablo shida ni kuwa kocha msaidiz real madrid 😂😂
We umejaribu ukaweza? Labda Wikipedia watu waliedit na kuandika ni plumberkwani wewe huwezi ku-edit taarifa huko transfer market kakaa
Sa mkuu ushaona kocha msaidiz akiwa kazn, kavaa jins na shati...na kocha mkuu kavaa nguo za kazi??
Yako iko wapi acha kukaza fuvu kijana utakufa kabla siku zako kwa makasirikio yasiyo na tijahahahaha cv mbovuu leta official statement ya Real madrid cf
Hayo mavaz ni maamuz yake kwani we unajiskiaje akivaa hivyoSa mkuu ushaona kocha msaidiz akiwa kazn, kavaa jins na shati...na kocha mkuu kavaa nguo za kazi??
Afu huoni ni kama mtu na shabiki wake wamepga pcha, huyo pablo kaomba picha na zizou. [emoji1]
dah kakaa tumia akili kuchambua hii picha huyu pablo inaonekana kabisa aliomba kupiga picha make mwenzake yuko ndani ya obstacle