Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #101
Ndio walivyo watu magumashi, hizo picha zinakuwa na malengo endelevu kama hivi alivyowapiga Simba.Huyu kocha kazi yake kupiga picha na watu maarufu tu.
Hii inanikumbusha enzi za Boli zozo, baada ya Simba kupigwa kwenye fainali ya Caf na Stella Abidjan kubeba kombe uwanja wa Taifa, Simba kama kawaida yao wakazuwa kituko eti Boli zozo aliyewafunga anacheza ligi kuu Ufaransa.
Ndipo mbumbumbu wakaambiwa hawa Boli zozo wapo wanne mnamsema yupi?
Boli zozo Jean?
Boli zozo Pierre?
Boli zozo Francoise?
Boli zozo Chabout?
Basi mbumbumbu wakaishia hapo ndoto zao za kimweri.
Yaleyale yanajirudia hivi Babla ameshindwa hata kupata confirmation kwa kupiga simu kwa CEO mwenzake wa Real Madrid?