Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe.
Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki wachache. Umri nao unaenda nadhani tumchukue Yanga. Miaka mingi tumemtaka Chama. Huu ndo wakati wetu sasa wa kumsajili. Angalau kwa mwaka mmoja.
Tunashukuru hatimaye tumekuja mpata Chama mwishoni. Tumemtaka kwa miaka mingi sana.. hatimaye tunaye. Ingawa wapo wanayanga ambao wanapinga usajili wa Chama. Hawamtaki kwa sababu wanadai hana jipya amechoka.
Mimi nadhani tumchukue tu. Ni miaka mingi tumekuwa tukimuhitaji. Naye amekubali kuja kwetu baada ya kuona Simba hawampi tena thamani. Aje ajitahidi. Simba wameamua kuondoa wachezaji wengi wakongwe. Waanze upya. Si mbaya tumchukue.