Simba wameset standards, mipango makini!

Simba wameset standards, mipango makini!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wanasimbaaaaa!

Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi.

Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata ligi yetu iongezeke thamani. Hata ubora wa sasa wa Yanga benchmark yao ni Simba kuanzia mfumo wa utawala hadi namna ya kuzikabili international games.

Sasa Yanga chukueni hii pia. Kuelekea game dhidi ya Yanga huku pia kukiwa na kibarua dhidi ya Wydad Casablanca wiki hiyo hiyo! Pamoja na mazoezi ya kiufundi na physical fitness, club ilitumia tarehe 15 April kwaajili kuandaa timu kisaikolojia chini ya Mwalimu nguli wa saikolojia Dr Chriss Mauki! Hii ni kwa mujibu wa page ya Dr Mauki mwenyewe.

Binafsi nawapongeza sana viongozi wa Simba kwa kuandaa timu kisasa badala ya enzi za kwenda kulala kwa waganga! Sasa Uto chukueni na hiyo! Mpira unahitaji maandalizi hata ya kiakili ndio maana jana mliona tofauti ya wakamiaji na watulivu waliofundwa kiakili [emoji23]

Jana Nyoni na Mzamiru walifanya Uto wavunje kiungo nzima kuwakabili lakini bado shughuli ikawa pale pale fimbo za mwanaukome zikaendelea [emoji23]

Asante Rastaman Kibu Diii kwa kuninyooshea mdaka mishale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
UKIKOSA SHEREHR YA UBINGWA, INANOGA SHEREHE YA KUMFUNGA MTANI NA LAZIMA UISHEREKEE
Na haipingwiiiiiiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante Rastaman Kibu Diii kwa kuninyooshea mdaka mishale
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Alimyoosha mara mbili bahati nzuri kwake akaokolewa na refa.

Akadake mishale ya Manungu sio ya Mnyama mkali
 
Wanasimbaaaaa!

Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi.


Asante Rastaman Kibu Diii kwa kuninyooshea mdaka mishale [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kumbe MAKOLO mnafurahia kuifunga YANGA tu!ndo mshabeba ubingwaa
 
ASAP Rock na Gucci Money uvumilivu umewashinda wameamua waingie booth
 
Back
Top Bottom