Tangu lini nyuma mwiko mbele mwiko akawa ana akili? Refer Kamwe kabla ya kuzama utopolo na wa hv sasa....Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Dunian...
Ili mradi tu umeandika.Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani...
Yes,Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.
Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.
NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki [emoji1]
Jadili hojaTangu lini nyuma mwiko mbele mwiko akawa ana akili? Refer Kamwe kabla ya kuzama utopolo na wa hv sasa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kubwa Africa....but michuano ya super league inafuatiliwa world wideIli mradi tu umeandika.
Akili nyingine zinaonyesha hata kwa familia we Ni baba wa aina gani.
Nb: Kwamba Al Ahly si kubwa na inatafuta ukubwa duniani?! Uko siriazi,kwamba nawe unaongea mpira
Hoja!? Kuna hoja umeandika au pumba?Jadili hoja
Kwani kuwa shabiki wa YANGA ni lazima usiwe na akili?Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.