Simba wameteuliwa Super League ili kuibeba Al Ahly

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.

Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.

NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki [emoji1]
 
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani...
Ili mradi tu umeandika.

Akili nyingine zinaonyesha hata kwa familia we Ni baba wa aina gani.

Nb: Kwamba Al Ahly si kubwa na inatafuta ukubwa duniani?! Uko siriazi,kwamba nawe unaongea mpira
 
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.

Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.

NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki [emoji1]
Yes,
ni maoni ya kimichezo kabisa haya.
good.....
 
Ili mradi tu umeandika.

Akili nyingine zinaonyesha hata kwa familia we Ni baba wa aina gani.

Nb: Kwamba Al Ahly si kubwa na inatafuta ukubwa duniani?! Uko siriazi,kwamba nawe unaongea mpira
Ni kubwa Africa....but michuano ya super league inafuatiliwa world wide
 
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Africa lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.

Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.

NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki [emoji1]
Kwani kuwa shabiki wa YANGA ni lazima usiwe na akili?
 
Back
Top Bottom