Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.
Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.
NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki [emoji1]