SIMBA WAMETUABISHA SANA

SIMBA WAMETUABISHA SANA

Kwa hiyo kuna miujiza iliokuwa ikisubiliwa?😳
 
Kumbe timu yenu inauwezo mkubwa hivyo...inashindwa nini sasa kufika hii hatua aliyofika simba sababu mnamiaka ishirini hii hatua mmeishia kuitazama kwenye tv
Mpira ni hesabu. 5 + 5 = 10
 
hujui historia ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaah nipe historia we unayeijua....lini Yanga alifika huku alipofika simba...soma hiyo gongowaziiii...kumbe sio simba tu aliyewahi kupigwa mkonoo
7ca53215b47dabd1840c8f7401cb5f51.jpg
 
Back
Top Bottom