Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni hesabu. 5 + 5 = 10Kumbe timu yenu inauwezo mkubwa hivyo...inashindwa nini sasa kufika hii hatua aliyofika simba sababu mnamiaka ishirini hii hatua mmeishia kuitazama kwenye tv
Katika klabu 16 bora Africa kwa sasa simba ipo , hivyo ujinga huo kaongee huko mchanganiSimba ni kama WAKURYA wababe wakiwa TARIME wakija dar wanauza mayai. Ile ni aibu KUBWA haijawahi kutokea kwa kilichofanyika sinto kaa kuwasamehe hawa watu bora niwe shabiki hata Wa netboll....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaah nipe historia we unayeijua....lini Yanga alifika huku alipofika simba...soma hiyo gongowaziiii...kumbe sio simba tu aliyewahi kupigwa mkonoo
Hahaaaah soma hiyo engineer bwireeee...kumbe sio simba tu aliyewahi kula mkono kule...hahaah soma iyooooMpira ni hesabu. 5 + 5 = 10