Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

Vipi wale wengine waliofanya promo ya jezi mpya kwa kumtumia mchezaji ambaye hatachezea timu msimu unaokuja na wamepanda magari ambayo asilimia 99 ya mashabiki wake wala mihogo hawatakuja kuyapanda maisha yao yote?

Kwani we Diara, Aucho, Aziz Ki umewaona kule Kimbiji?
 
Kama Simba wameenda preseason bila bench la ufundi hiki ni kituko. Lkn kitendo cha Yanga kuzindua jezi na wachezaji wanaoondoka ni kituko zaidi.
 
Hivi huko ukoloni wote wana akili kama zako? Nasikitika hadi natamani kulia.
Wenzio walikuwa na game za kimataifa waliongezewa likizo
 
Reactions: BRN
Kama Simba wameenda preseason bila bench la ufundi hiki ni kituko. Lkn kitendo cha Yanga kuzindua jezi na wachezaji wanaoondoka ni kituko zaidi.
Mchezaji amevaa jezi kwasababu ana mkataba, hata kule ulaya tunaona yanatokea kwamba mchezaji anatambulisha jezi mpya alafu anasepa, kwani de gea vp si kaondoka lkn jezi mpya si katambulisha?
 
Hivi huko ukoloni wote wana akili kama zako? Nasikitika hadi natamani kulia.
Wenzio walikuwa na game za kimataifa waliongezewa likizo
Lakini hawapo kambini hiyo ndiyo ishu, sasa mmeuliza mkaambiwa kwa nini hao wa Simba bado hawajaenda?
 
Kama Simba wameenda preseason bila bench la ufundi hiki ni kituko. Lkn kitendo cha Yanga kuzindua jezi na wachezaji wanaoondoka ni kituko zaidi.
Unawasikiliza hao? Benchi la ufundi linajumuisha kina nani kusema timu ipo bila benchi?
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…