Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

Hao wa simba Mimi sijui lakini wa yanga taarifa ndio hiyo.
Sasa hoja iko wapi kama sababu haijulikani. Pia tukumbuke mechi za mwisho walizocheza hao kina Aucho, kina Kibu na Mzamiru pia walicheza. Kila timu na taratibu zake. Wote tungependa wawepo kambini na wenzao lakini siyo ishu ya kuanza kutoa kejeli huku sababu ya kuchelewa haijulikani
 
Hata KUKUJIBU naona aibu.

Robertinho ana kozi ya UKOCHA week 1 KWAO Brazil.

Bahati Mbaya sana Timu imeenda pre season.
Ni wakati WA Mazoezi Magumu yakisimamiwa na KOCHA wa Viungo.

Sehemu ya Mazoezi yasiyomuhitaji KOCHA mkuu.

1. Kukimbia.
2. Kuogelea.
3. Kuingia Gim
4. KURUKA Koni.
5. Kumnyanyua vitu vizito nk.

Chukua shule Hiyo kwanza.
 
Kama Simba wameenda preseason bila bench la ufundi hiki ni kituko. Lkn kitendo cha Yanga kuzindua jezi na wachezaji wanaoondoka ni kituko zaidi.
Ndugu yangu hebu rudisha akili mahali pake.

Kuna ajabu Gani wachezaji kuondoka? Soka ni bizness Mkuu au umejitoa ufahamu?

Dunia nzima msimu wa ligi ukiisha timu zinauza wachezaji waliofanya vizuri kwa bei mbaya na kuacha waliochemka na kusajili wachezaji wapya!

Hivi Kuna kituko Gani hapo Mkuu au ndo weekend, maji ya uzima yako kichwani au Kvant!!

Kwahiyo Yanga inacheza ligi yake peke yake huko Mars?

Yanga kubeba makombe misimu miwili mfululizo imeondoa akili Makolo nyote inawauma sana mnaponda utopolo bila kufikiri wala kuwa na hoja za maana kama hii!

Yanga tayari Ina mfumo wa kucheza Kwa jihadi hata wakiondoka wachezaji wote falsafa mpya ya Yanga itaendelea kufanya kazi kipindi Cha kwanza ni kuusoma mchezo kipindi cha pili mpinzani wetu lazima aombe refa amalize boli! Huwa ni moto mkali wa petrol!

Je wajua kocha mpya ni Mwalimu Wa Nabi?

Je wajua Nabi alipotangaza kutimka makocha laki mbili waliomba kumiliki benchi la ufundi Utopoloni akiwepo Roba, Gomez, Mgunder na Uchebe na wote tukafyeka tukampa kazi kocha mwenye cv kubwa Huyu kafundisha Madrid, Timu ya Taifa Brazil, Senegal, AC Milan, Italia National team, Galatasaray, Bayern, Mamelodi na Ahly na kote kabeba makombe🤪🤪🤪🙄😊💪💪! Mwaka huu pia mtatukoma Utopolo!

Huku Utopoloni tunajua Simba Robo Robo fc mwenye akili ni mmoja tu Rage the Great, wengine wote nyie mambumbumbu, tumpe Rage Maua yake 🌹🌹🌷🥀💐💐💐🤪 tafadhali!
 
Hata KUKUJIBU naona aibu.

Robertinho ana kozi ya UKOCHA week 1 KWAO Brazil.

Bahati Mbaya sana Timu imeenda pre season.
Ni wakati WA Mazoezi Magumu yakisimamiwa na KOCHA wa Viungo.

Sehemu ya Mazoezi yasiyomuhitaji KOCHA mkuu.

1. Kukimbia.
2. Kuogelea.
3. Kuingia Gim
4. KURUKA Koni.
5. Kumnyanyua vitu vizito nk.

Chukua shule Hiyo kwanza.
na kuhusu mgunda ambaye naye hajaenda tusiwe tunatetea ujinga hatakama tunashabikia hizi timu za kariakoo

Ndo maan kwenye hizi timu za kariakoo hakuna tofauti kati ya aliyeishia darasa la nne na professor as long wanashangilia hizi timu basi akili zao zinakua sawa
 
Mchezaji amevaa jezi kwasababu ana mkataba, hata kule ulaya tunaona yanatokea kwamba mchezaji anatambulisha jezi mpya alafu anasepa, kwani de gea vp si kaondoka lkn jezi mpya si katambulisha?
Achana nao hao hata Mpira huwa hawafuatilii. Jambo la kawaida kabisa Duniani kote wao wanaona ajabu.
 
Vipi wale wengine waliofanya promo ya jezi mpya kwa kumtumia mchezaji ambaye hatachezea timu msimu unaokuja na wamepanda magari ambayo asilimia 99 ya mashabiki wake wala mihogo hawatakuja kuyapanda maisha yao yote?

Kwani we Diara, Aucho, Aziz Ki umewaona kule Kimbiji?
Akili za makolo hizi.....kwani jezi zinacheza mpira?elewa kocha ndio mifumo ya timu...
 
Unaenda pre season bila ya kocha mkuu, msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita hii ni record simba wameweka

In short wameenda pre season bila ya kuwa na bench la ufundi
Pre season bado wanakula Bata kwanza acheni wivu na umbea.
 
Hata KUKUJIBU naona aibu.

Robertinho ana kozi ya UKOCHA week 1 KWAO Brazil.

Bahati Mbaya sana Timu imeenda pre season.
Ni wakati WA Mazoezi Magumu yakisimamiwa na KOCHA wa Viungo.

Sehemu ya Mazoezi yasiyomuhitaji KOCHA mkuu.

1. Kukimbia.
2. Kuogelea.
3. Kuingia Gim
4. KURUKA Koni.
5. Kumnyanyua vitu vizito nk.

Chukua shule Hiyo kwanza.
Yaani hapa hatakuelewa kabisa kwa sababu hata1+1=2 amekuja kuijua ukubwani
 
aziz ki,diara ,aucho ,mayele,bangala ,djuma ,kaze,fitness coach wote hao awapo kambi,jezi namba sita wana mtambulisha wiki ya wananchi! je atakua amefanya mazoezi na timu??
 
Hata KUKUJIBU naona aibu.

Robertinho ana kozi ya UKOCHA week 1 KWAO Brazil.

Bahati Mbaya sana Timu imeenda pre season.
Ni wakati WA Mazoezi Magumu yakisimamiwa na KOCHA wa Viungo.

Sehemu ya Mazoezi yasiyomuhitaji KOCHA mkuu.

1. Kukimbia.
2. Kuogelea.
3. Kuingia Gim
4. KURUKA Koni.
5. Kumnyanyua vitu vizito nk.

Chukua shule Hiyo kwanza.
Kocha wa viungo nae katambulishwa Leo?
Sikuzote huko ilikuwaje?

Namna team humo
 
Back
Top Bottom