Simba wamjibu Kocha Dan Cadena.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
 
Attachments

  • FB_IMG_17178301042253732.jpg
    259.4 KB · Views: 2
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.

Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
Kama na kweli kuna shida kubwa. Uandishi tu mashaka.
 
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
Mtu anafutwa kazi hivi kihuni😁😀😀

Usichoelewa ni kuwa Cadena ameshamaliza mkataba wakw na kaamua kuondoka. Hapa katoa ya moyoni kuhusu Professionalism.

Cadena si mnazi wa utani wa Simba na Yanga, yawezekana hoja yake ya Viongozi kuingilia makocha ni swhemu ya tatizo Msimbazi.

Sasa apuuzwe na ugonjwa uendelee au lifanyiwe kazi.

Amewashauri tu publicly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…