Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Huna akili unaleta tetesi dhidi ya ukweli hizo kesi za manji kukamatwa zlifunguliwa kwako?
Tetesi ? Ulikuwa bado mdogo umejaa kamasi puani na umevalishwa pampers
 
Mtapata majina mapya kama ifuatavyo😂

Ngada Fc
Punda Fc
Heroine Football club
Powder FC
😂😂😂😂😂
 
Nimeamini ni chuki tuuu yani kweli mpira umeshakua jangaa yani akamatwe mwingine mje mumhusishe mwingine na upumbavu wa mwingine chaaa

Kwahiyo kama anafanya kazi simba wasiseme anapofanyia kazi au mlitakaje? Hoja ya ana mkataba au hana hiyo haituhusu kwa sasa
 
Simba kuna muda ni wapumbavu sana.
Kama Simba ilipatana na huyo kocha kufundisha makipa wake kwa mwezi mmoja, maana yake huyo kipa ana mkataba wa kazi (ajira ya muda mfupi) na Simba. Hivyo simba walipaswa kuja na taarifa ya kumtambua mwajiriwa wao.

Nani kawaambia Simba kuwa hizo tuhuma za madawa ya kulevya zinazomkabili huyo kocha wa makipa zinaihusu Simba? Mbona Simba wanajivusha tuhuma zisizowahusu.

Mimi nilitegemea Simba waje na taarifa ya namna kama hii;
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuutarifu umma kuwa, kocha wetu wa makipa anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Japokuwa tuhuma hizo zinamhusu yeye binafsi lakini zinaweza kuharibu taswira nzima ya klabu yetu mbele ya jamii, hivyo klabu ya Simba kwa sasa imeamua kusitisha mkataba wake huku ikiendelea kusubiri hatma ya tuhuma hizo katika vyombo husika vya kisheria.
Sasa ndugu yangu huko umbumbuni kuna mtu mwenye hizo akili za kuandika taarifa nzuri kama hiyo? Kitengo kinachoongozwa na Mlete Mzungu hakina uwezo wa kuandika hayo. Hao wote ni majnun.
 
Sijui chochote mimi kama kabwili aliweza kuacha wenzake mnaobanduliwa hapo utopolni wala sikushangai
Kocha wenu kakamatwa na kete za madawa, tunaomba serikali na Tff wafanye uchunguzi huenda Simba n taasisi inayojiusisha na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Ngada fc
 
View attachment 2417464

Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekua Kocha wa magoli kipa Muharami Said Mohammed maarufu Shilton hakua muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakua na mkataba na Simba.

Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu.

Kwa mantiki hiyo klabu haihusiki na tuhuma zinazomkabili Kocha huyo na klabu iko tayari kutoa ushirikiano kwa mamlaka husika pindi itakapohitajika kwa maslahi ya Taifa.

Uongozi wa Simba unawaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kwani hakuna athari yeyote kwa klabu kutokana na kadhia iliyomkumba Kocha huyo.

===================

Mapema leo Novemba 15, 2022 Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya alitangaza kuwa Kocha huyo amekamatwa na watu wengine 9 wakiwa na Heroin kilo 34.

View attachment 2417476
Kwanini Menejimenti ya Timu yetu imetumia maneno ya "MASHABIKI WA KLABU HIYO"?

Ina maana Klabu hiyo siyo Simba?

Wangesema MASHABIKI WA KLABU YETU.
 
Kwahiyo kama anafanya kazi simba wasiseme anapofanyia kazi au mlitakaje? Hoja ya ana mkataba au hana hiyo haituhusu kwa sasa
Nadhani umenielewa kwanini nasema hivyo. Nimesema kumuhusisha mtu sijasema Simba. Simba ni taasisi... au unajitoa ufahamu shubir mwitu
 
Kocha wenu kakamatwa na kete za madawa, tunaomba serikali na Tff wafanye uchunguzi huenda Simba n taasisi inayojiusisha na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Ngada fc
Hilo pele lililokupata leo sijui kama litaisha muwasho.
 
Simba kuna muda ni wapumbavu sana.
Kama Simba ilipatana na huyo kocha kufundisha makipa wake kwa mwezi mmoja, maana yake huyo kipa ana mkataba wa kazi (ajira ya muda mfupi) na Simba. Hivyo simba walipaswa kuja na taarifa ya kumtambua mwajiriwa wao.

Nani kawaambia Simba kuwa hizo tuhuma za madawa ya kulevya zinazomkabili huyo kocha wa makipa zinaihusu Simba? Mbona Simba wanajivusha tuhuma zisizowahusu.

Mimi nilitegemea Simba waje na taarifa ya namna kama hii;
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuutarifu umma kuwa, kocha wetu wa makipa anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Japokuwa tuhuma hizo zinamhusu yeye binafsi lakini zinaweza kuharibu taswira nzima ya klabu yetu mbele ya jamii, hivyo klabu ya Simba kwa sasa imeamua kusitisha mkataba wake huku ikiendelea kusubiri hatma ya tuhuma hizo katika vyombo husika vya kisheria.
Hii press inaonesha kuna namna makolo wanapush sembe
 
Kocha wenu kakamatwa na kete za madawa, tunaomba serikali na Tff wafanye uchunguzi huenda Simba n taasisi inayojiusisha na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya. Ngada fc
Na sisi tuombe mfanyiwe check up hapo avic town tuwajue wale wote wqfuasi wa michezo ya kabwili ukiwemo na wewe
 
Back
Top Bottom