3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Wewe unatakiwa uende rehab sio reharbal kichwa yako imejaa kinyesi mpka kwenye chupiUnona ngada zinavyowaendesha 😅😅. Afadhali mmekamatwa tutawapeleka Reharbal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatakiwa uende rehab sio reharbal kichwa yako imejaa kinyesi mpka kwenye chupiUnona ngada zinavyowaendesha 😅😅. Afadhali mmekamatwa tutawapeleka Reharbal
Huwa malipo hapa hapa duniani,sipati picha wale kofia ndefu wanahali gani potepote walipo, mwenye kujua walipo aturushie picha 🥱hata sisi hatupati picha tungetolewa na club africa ingekuwaje,kwa jinsi mlivyoshadadia ile droo waliyipambania hapa darusalaam...
TAKUKURU wanahusikaje na matuminzi ya madawa ya kulevya kumbe mkiambiwa nyie ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo ni kweli?Simba hawawezi kukwepa hii kashifa ni yao na mtuhumiwa anajulikana kama mtumishi wao. Kutoa ufafanuzi huu wakipuuzi nikuonesha walivyohaha. TAKUKURU NA TFF wafanye uchunguzi Kuna hatari kubwa Sana ya wachezaji wa simba kutumia madawa haya.
Pole ngada fc🤣🤣
Lijinga hiloWewe unatakiwa uende rehab sio reharbal kichwa yako imejaa kinyesi mpka kwenye chupi
Mgunda naye watakataa hakuwa kocha waoKwa kifupi ni kwamba, Muharami alipokuwa Simba SC alikuwa akipiga deiwaka, LABDA ndio sababu akaamua kujiongeza.
Eti reharbal... ebu acheni ushabiki maandazi.Unona ngada zinavyowaendesha 😅😅. Afadhali mmekamatwa tutawapeleka Reharbal
Hatutaki maziwa ya punda tunataka nyama ya punda kilo moya,tujue ladha yake😄Au mnataka maziwa ya punda tunauza lita moya elfu 10. Simba guvu moya
Na mashoga fc kama asemavyo kabwili ameqcha wenzake wengi hapo utopoloniNgada FC , Sembe FC , Dona FC, Unga FC wamepagawa sasa
Sawa ila wajibu Aya maswali.. kwanini awakutoa taharifa kabla kuwa ni kocha wa mda.
Ata kama umemuomba afundishe kwa mda uyo tiyali ni mwajiliwa wako.
Na kama ni ivyo basi wahandike barua kwa tume ya kudhibiti na kuzuiya madawa ya kulevya yenye lengo la kuomba radhi kwa tahasisi na club ya simba fc kwa kumtuhumu kocha wa magolikipa anaye zaniwa ni mwajiliwa wa simba.
Dah! Hapa kweli uongozi wetu umezingua.Watanzania sijui tuna shida gani. Sasa hii press reliease ina kanusha nini na inakubali nini.
'Simba ilimuomba na kukubaliana na Muharami kuwanoa makocha wetu ila sio mwajiriwa wetu'! Kumuomba mtu na kukuibaliana nae kufanya kitu fulani kwa malipo sio muajiriwa?
Ni bora wangesema ni muajiriwa wa muda
Watanzania kila kitu kubisha tu yaani, siasa siasa siasa kila mahali.
Kibusara ilitakiwa simba kuomba radhi kwa mtumishi wake kutuhumiwa hii kashfa alafu waoneshe kuwa hicho ni kitu personal na waoneshe kusikitika na kuahidi kumchukulia hatua akibainika, simple tu
Unasema?Mzamiru Yassin a.k.a kiungo 'punda'
Simba guvu moya
Kwahiyo mnasemaje nyie mihogo fc
Ila bora ngumbaru na sio Punda🥱Aya
tahalifa
tiyali
Ivyo
wahandike
tahasisi
anaye zaniwa.....
Ngumbari huyu, rudi memkwa.
Kiungo punda kumbe makolo wana maana yao ya ziada na hawatuambiiUnasema?