HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Damage ishafanyika tayari.Huyo wa tume ya dawa za kulevya naye aliamua kuropka tu bila kujiridhisha kama huyo ni Muajiria wa Simba? anapaswa kuiomba radhi Simba na mashabiki wake kwa kusababisha usumbufu usio na sababu.
Wao Simba walitakiwa sema, kuwa wanafuatilia na mamlaka husika na watatoa taarifa.
Ilitakiwa Simba waongee na DCEA afu watoe taarifa yao kama timu. Kusema wanasubiria maamuzi ya vyombo husika huku wao wakitoa ushirikiano