Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Eti huwa anafundisha makipa mara moja-moja kwa mwezi kwahiyo simba hawamtambui 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha taarifa tafadhali?Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu.
Kwa mantiki hiyo klabu haihusiki na tuhuma zinazomkabili Kocha huyo na klabu iko tayari kutoa ushirikiano kwa mamlaka husika pindi itakapohitajika kwa maslahi ya Taifa.
Uongozi wa Simba unawaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kwani hakuna athari yeyote kwa klabu kutokana na kadhia iliyomkumba Kocha huyo.
Umeamua ujijibu mwenyewe
Wamemkataa waliyemuomba kuwafundisha hao makipa..!! Kwani mkataba ni nini?
Simba waseme tu kwamba mzigo unawahusu, sema battery imechomoka ndo wanahaha
Kama ni hivi Mimi ni Mbumbumbu wa mikataba maana eti nilifundishwa kuna mkataba wa maandishi na mkataba wa maneno. Mwalimu yule Mburula akanambia eti mkataba si lazima uandikwe.
Sawa ila wajibu Aya maswali.. kwanini awakutoa taharifa kabla kuwa ni kocha wa mda.
Ata kama umemuomba afundishe kwa mda uyo tiyali ni mwajiliwa wako.
Na kama ni ivyo basi wahandike barua kwa tume ya kudhibiti na kuzuiya madawa ya kulevya yenye lengo la kuomba radhi kwa tahasisi na club ya simba fc kwa kumtuhumu kocha wa magolikipa anaye zaniwa ni mwajiliwa wa simba.
bora kula mihogo kuliko kula unga
Upuuzi wa kiwango cha SGR, wabebe mzigo ni wao. Kama taasisi haiwezi kutokujua mienendo ya mtumishi wake.
Ngada fc
Bora wangekaa kimya
Watanzania sijui tuna shida gani. Sasa hii press reliease ina kanusha nini na inakubali nini.
'Simba ilimuomba na kukubaliana na Muharami kuwanoa makocha wetu ila sio mwajiriwa wetu'! Kumuomba mtu na kukuibaliana nae kufanya kitu fulani kwa malipo sio muajiriwa?
Ni bora wangesema ni muajiriwa wa muda
Watanzania kila kitu kubisha tu yaani, siasa siasa siasa kila mahali.
Kibusara ilitakiwa simba kuomba radhi kwa mtumishi wake kutuhumiwa hii kashfa alafu waoneshe kuwa hicho ni kitu personal na waoneshe kusikitika na kuahidi kumchukulia hatua akibainika, simple tu
Simba hawawezi kukwepa hii kashifa ni yao na mtuhumiwa anajulikana kama mtumishi wao. Kutoa ufafanuzi huu wakipuuzi nikuonesha walivyohaha. TAKUKURU NA TFF wafanye uchunguzi Kuna hatari kubwa Sana ya wachezaji wa simba kutumia madawa haya.
Pole ngada fc🤣🤣
This aint heaven it is hell with a smileHiyo taarifa imekaa kinyonge sana na aliyeiandaa kafanya haraka haraka.
Taarifa kama hizo huwa zinaambatana msimamo wa Taasisi/timu juu ya swala husika.
Kwa mfano.hapo walipaswa waseme "timu ya simba inapinga biashara na matumizi ya madawa ya kulevya kwa ujumla"
Hizi ni tuhuma nzito na kitendo cha hovyo kwa Simba nikumkana mfanyakazi wake, mfanyakazi hata Kama hana mkataba wakudumu bado ni wako, Mgunda amepewa mkanda Simba au bado?Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zaidi.
Katika mazingira haya utasikia hadi shetani akikukana😄😄Taarifa zilizonifikia hivi punde zinadai, uongozi wa Simba SC umekanusha Muharami Sultani kuwa kocha wake, taarifa inaeleza kwamba, Muharami aliombwa kuwa kocha kwa muda wa mwezi mmoja pekee huku Simba SC ikiendelea na mipango ya kutafuta kocha mpya.
Muharami anayetuhumiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na wenzake nane, bado anashikiliwa na mamlaka za nchi ili kujibu tuhuma zinazomkabili.
View attachment 2417460
Ili muwaandame🥱Simba wangekaa kimya
Huenda na boss mo akawa muhusika mkuuUongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekuwa Kocha wa makipa Muharami Said Mohammed maarufu 'Shilton', hakuwa muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakuwa na mkataba na Simba.
Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu.
Kwa mantiki hiyo klabu haihusiki na tuhuma zinazomkabili Kocha huyo na klabu iko tayari kutoa ushirikiano kwa mamlaka husika pindi itakapohitajika kwa maslahi ya Taifa.
Uongozi wa Simba unawaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwa watulivu kwani hakuna athari yeyote kwa klabu kutokana na kadhia iliyomkumba Kocha huyo.
Kulikoni humu tena🤨Makolo shida ipo pale pale msimu huu,leo tumejua biashara zenu haramu,kesho mchana kundi moja na waydad,al ahly na mamelodi,jioni Simba(heroin fc) 1-Namungo 3 watu weweeeeee 😀
Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zjamani
hata sisi hatupati picha tungetolewa na club africa ingekuwaje,kwa jinsi mlivyoshadadia ile droo waliyipambania hapa darusalaam...Mnavyoshadadia hili sipati picha kama angekuwa ana ajira kamili na ameshakuwepo hapo kwa miaka miwili au zaidi.
Hakika. Ndivyo walipaswa kusema. Mbumbumbu wakubwa.Simba kuna muda ni wapumbavu sana.
Kama Simba ilipatana na huyo kocha kufundisha makipa wake kwa mwezi mmoja, maana yake huyo kipa ana mkataba wa kazi (ajira ya muda mfupi) na Simba. Hivyo simba walipaswa kuja na taarifa ya kumtambua mwajiriwa wao.
Nani kawaambia Simba kuwa hizo tuhuma za madawa ya kulevya zinazomkabili huyo kocha wa makipa zinaihusu Simba? Mbona Simba wanajivusha tuhuma zisizowahusu.
Mimi nilitegemea Simba waje na taarifa ya namna kama hii;
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuutarifu umma kuwa, kocha wetu wa makipa anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Japokuwa tuhuma hizo zinamhusu yeye binafsi lakini zinaweza kuharibu taswira nzima ya klabu yetu mbele ya jamii, hivyo klabu ya Simba kwa sasa imeamua kusitisha mkataba wake huku ikiendelea kusubiri hatma ya tuhuma hizo katika vyombo husika vya kisheria.
Hangaikeni na punda huyo🚶Yani shida ni vile mijitopolo mnaihusisha Simba kama ndo walimwagiza hyo punda
Kwani manji aliposhikwa na ngada alikamatwa kama manji au taasisi ya yanga akiwa mdhamini wenu?Upuuzi wa kiwango cha SGR, wabebe mzigo ni wao. Kama taasisi haiwezi kutokujua mienendo ya mtumishi wake.
Ngada fc
Huyu ni punda wa MoYani shida ni vile mijitopolo mnaihusisha Simba kama ndo walimwagiza hyo punda