Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Simba wamkataa Muharami kuwa kocha wake

Unona ngada zinavyowaendesha 😅😅. Afadhali mmekamatwa tutawapeleka Reharbal
Wewe unatakiwa uende rehab sio reharbal kichwa yako imejaa kinyesi mpka kwenye chupi
 
hata sisi hatupati picha tungetolewa na club africa ingekuwaje,kwa jinsi mlivyoshadadia ile droo waliyipambania hapa darusalaam...
Huwa malipo hapa hapa duniani,sipati picha wale kofia ndefu wanahali gani potepote walipo, mwenye kujua walipo aturushie picha 🥱
 
Simba hawawezi kukwepa hii kashifa ni yao na mtuhumiwa anajulikana kama mtumishi wao. Kutoa ufafanuzi huu wakipuuzi nikuonesha walivyohaha. TAKUKURU NA TFF wafanye uchunguzi Kuna hatari kubwa Sana ya wachezaji wa simba kutumia madawa haya.

Pole ngada fc🤣🤣
TAKUKURU wanahusikaje na matuminzi ya madawa ya kulevya kumbe mkiambiwa nyie ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo ni kweli?
 
Kwa kifupi ni kwamba, Muharami alipokuwa Simba SC alikuwa akipiga deiwaka, LABDA ndio sababu akaamua kujiongeza.
Mgunda naye watakataa hakuwa kocha wao
 
Ndio maana thithi thimba pre season tunaenda ulaya mara uturuki ninyi utopolo mmebaki kigamboni kumbe mnasambaza na ngada kabisa
 
Mzamiru Yassin a.k.a kiungo 'punda'

Simba guvu moya
 
Sawa ila wajibu Aya maswali.. kwanini awakutoa taharifa kabla kuwa ni kocha wa mda.
Ata kama umemuomba afundishe kwa mda uyo tiyali ni mwajiliwa wako.
Na kama ni ivyo basi wahandike barua kwa tume ya kudhibiti na kuzuiya madawa ya kulevya yenye lengo la kuomba radhi kwa tahasisi na club ya simba fc kwa kumtuhumu kocha wa magolikipa anaye zaniwa ni mwajiliwa wa simba.

Aya
tahalifa
tiyali
Ivyo
wahandike
tahasisi
anaye zaniwa.....

Ngumbaru huyu, rudi memkwa.
 
Watanzania sijui tuna shida gani. Sasa hii press reliease ina kanusha nini na inakubali nini.

'Simba ilimuomba na kukubaliana na Muharami kuwanoa makocha wetu ila sio mwajiriwa wetu'! Kumuomba mtu na kukuibaliana nae kufanya kitu fulani kwa malipo sio muajiriwa?

Ni bora wangesema ni muajiriwa wa muda

Watanzania kila kitu kubisha tu yaani, siasa siasa siasa kila mahali.

Kibusara ilitakiwa simba kuomba radhi kwa mtumishi wake kutuhumiwa hii kashfa alafu waoneshe kuwa hicho ni kitu personal na waoneshe kusikitika na kuahidi kumchukulia hatua akibainika, simple tu
Dah! Hapa kweli uongozi wetu umezingua.
Wamekurupuka. Bora wangetuliza akili kwanza. bladfakeng!
 
Mgunda nae akidakwa na ngada simple tu tunamruka tu kuwa hana mkataba anapiga tu deiwaka ya ukocha.

Kuwa mbumbumbu raha sana.
 
Jamani Simba wamesema hawana mkataba na huyu jamaa kwamba yeye alikuwa dei waka - kama mkataba anao basi autoe muuone.
 
Back
Top Bottom