Ubwela, ni neno la kibantu maana yake utarudi, japo kuwa linategemea jinsi utakavyo litamka ukitaka kujiwakilisha mwenyewe sema ndibwela yaani nitarudi (hili nalifahamu, linatumika Kwa lugha ya chichewa), Nashauri Hakuna haja ya kulikweza kwanza maneno mawili yamechanganywa ya lugha tofauti, (Please be advised not to complicate matters).ukinzani wa neno ubwela, ukitamka ubwela? Itamaamisha, je utarudi, (ubwelaa!), mimi kazi yangu ni uelimishaji tu. Hitimisho, je ubaya ubwelaa?, yaani je ubaya utarudi?, hahaha 🤣