Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaVile Vibabu Watu Waliona Wavilindie Heshma tu....!
Vijana 'Gen Z' wangefungua turbo visingepona..?
Una Kibabu Chama,half Ukifunge unataka kisipate Pensheni?
Hapo safiHii ni kweli kabisa .. ....simba tunapaswa kujifunza kwa mtani
Tumia dawa vizuri kwa kufuata ushauri wa dakitariYanga siku ile ilibebwa wamepewa goli la offside...Simba wakanyimwa penati..bila mwamuzi yanga hawezi kushinda..yanga ni mbovu mbona..hamna kitu
Namimi nasema wapigwe tuSimba imeshindwa kucheza mpira uwanjani sasa wamehamia kwa marefa kina Sasii kupunguza magoli, leo kachezesha Arajiga haki bin haki panapovuja vitimu vidogo kama Azam tumeona!
Kwa mpira wa leo ni wazi Yanga ilimdharau sana mtani na kumlindia heshma tu maana leo turbo zilifunguliwa kuikomesha Azam mashambulizi tangu mpira unaanza hadi dkk ya 60 watu wakapoteana na kujifunga ovyo Yanga ikaamua kuwaonea huruma Azam akaingia Nondo kulinda ushindi. Hii timu iliyocheza leo first half ndio first eleven yetu wananchi.
Hii Yanga ikacheza ligi za Ulaya tu inaonea sana vitimu vidogo vya bongo hasa Simba na Azam.
Dawa ni kuipiga Simba 10 - 0 uwezo upo ila wachezaji Yanga huruma zimezidi, mashabiki tunasema Simba wapigwe kumi bila tu maana hakuna namna hawataki kukubali kuwa msuli mdogo Yanga ni next level !! Tumewapiga bakora ya nane tarehe 8 ila bado wanashupaza shingo!!
Wana uto tunataka rekodi ya unbeaten kwa msimu mzima unaonza maana wapinzani Azam na Simba wote mdebwedo tu!!
Huyo nae bichwa tupu.Yanga siku ile ilibebwa wamepewa goli la offside...Simba wakanyimwa penati..bila mwamuzi yanga hawezi kushinda..yanga ni mbovu mbona..hamna kitu
Yanga siku ile ilibebwa wamepewa goli la offside...Simba wakanyimwa penati..bila mwamuzi yanga hawezi kushinda..yanga ni mbovu mbona..hamna kitu
Kaa kwa kutulia....tuliza kipwintoUnaota
Kama mwamuzi angekuwa fair nadhani Yanga wangeongoza kwa goli zaidi ya nneYanga siku ile ilibebwa wamepewa goli la offside...Simba wakanyimwa penati..bila mwamuzi yanga hawezi kushinda..yanga ni mbovu mbona..hamna kitu
Tutaelewana baadae,maajabu ya soka yanafuataMbumbumbu mshaingia kwenye mtego