Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

Nextym inabidi tuwapige kama Azam
Naona goli moja limewapa haki ya kuongea
Mbumbumbu wana akili kubwa mno ya nje ya uwanja kama saa mbovu inavyopatia majira!! Huko nje hatuwawezi!! Goli 5 hatupati tena , makolo wameamka wanakabia juu ukuta wa kolowizard ukiongozwa na refa na kibendera mmoja!!

Kabla ya mechi kolo Karai anawanyetisha makolo wenzake refa nani miamala inarushwa kwa refa kama maroketi ya Gaza kwenda Israel , refa Sasii akija uwanjani hacheki kazi ni kuhakikisha anablock kila safari ya uto na hata tukifunga ni offside!!

Karai:Fuata Maelekezo goli moja tu, unasikia we Sasiiii?, ndiyo mzee! Karai : mi nani, We boss Mkuu!! Karai: goli moja tu!! Sasiii: Ndio Mzee, yani nishawashtukia uto hasa yule Boka Junior, nitakabia juu, wana masifa sana wale uto, leo hakuna kutamba Ki Mobeto wala yule mkongo Max yupo kila mahali uwanjani, usihofu mzee nitawakomesha uto kwanza mdomoni siwapendi!! Ila moyoni wamo mzee!!
 
Kwa mpira unaochezwa na Yanga

Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
Safari hii Simba walikwepa kuingia kwenye mfumo; Azam waliingizwa kwenye mfumo na almanusra wabugie 5G.

Yanga kwa mfumo wao ni tishio. Waarabu wa Algeria walivyongizwa kwenye mfumo tu wakavurugana na kukubali 4G ya haraka haraka
 
Kuna rekodi Yanga tunaiweka makolo hamtoweza kuijibu, kumbe bado hutashtukia kunguru wewe?

Ni rekodi mpya ya Yanga kuifunga Simba mfululizo kila mkijaa hadi ifike mara 50 kima we wewe! Huu mziki mwingine!!

Juzi 8/8 imefika mara ya tatu makolo mnakandwa, imewauma hiyoooo na Oct mkijaa Kipigo kiko pale pale! Mtajaa tu na itakuwa mmekandwa mara nne mfululizo hadi siku moja mjifiche bunju msilete timu!!

Nyie mbumbumbu ni underdog tu mnajipa ukubwa msio nao, promo grade one, mpira ni mchezo wa wazi, hadharani kipute uwanjani Boka anatoka spidi anamwaga maji watu wanazidiwa wanabutua na kujifunga , mpira sio mchezo wa mdomoni mwa semaji lenu!

Utalia sana kila derby nguruwe wewe, Yanga ya moto sana kawaulize Azam ulimi nje! Farasi kama wewe msiojitambua ndio mnasababisha simba ikawa mdebwedo!!

Na Sasii mbeleko yenu hatumtaki tena kuchezesha Derby , mbumbumbu hamna pa kuponea tena , na bado mbwa wewe, heshimu wakubwa zako paka shume wewe!
🙆🙆😂😂😂 Simba forever na ukubwa wake
 
Back
Top Bottom