Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Mbumbumbu wana akili kubwa mno ya nje ya uwanja kama saa mbovu inavyopatia majira!! Huko nje hatuwawezi!! Goli 5 hatupati tena , makolo wameamka wanakabia juu ukuta wa kolowizard ukiongozwa na refa na kibendera mmoja!!Nextym inabidi tuwapige kama Azam
Naona goli moja limewapa haki ya kuongea
Kabla ya mechi kolo Karai anawanyetisha makolo wenzake refa nani miamala inarushwa kwa refa kama maroketi ya Gaza kwenda Israel , refa Sasii akija uwanjani hacheki kazi ni kuhakikisha anablock kila safari ya uto na hata tukifunga ni offside!!
Karai:Fuata Maelekezo goli moja tu, unasikia we Sasiiii?, ndiyo mzee! Karai : mi nani, We boss Mkuu!! Karai: goli moja tu!! Sasiii: Ndio Mzee, yani nishawashtukia uto hasa yule Boka Junior, nitakabia juu, wana masifa sana wale uto, leo hakuna kutamba Ki Mobeto wala yule mkongo Max yupo kila mahali uwanjani, usihofu mzee nitawakomesha uto kwanza mdomoni siwapendi!! Ila moyoni wamo mzee!!