Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa Mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.


1674226773219.png
 
Ndio hapo mwaka jana simba aliachia point kwa uzembe wake, alikuwa akipanga kikosi dhaifu mfano mechi ya polisi Moshi huku yanga akipoteza point kwa sare za kutosha na timu za Ruvu, Namungo, Mbeya kwanza n.k sema simba iliingia kwenye mtego wa kukatishwa tamaa.
 
Duh ajisemee mtangazaji mmoja wa planet fm. Angelikuwa kiongozi wa Dodoma jiji halafu wafungwe na simba, anatimua wote. Mechi ya Jumapili mkae vyema, mkidondosha tu wananchi bingwa.
 
katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.


View attachment 2489045
Mechi tano zijazo za Yanga:

1) vs Ruvu Shooting (H)
2) vs Namungo (H)
3) vs Simba (A)
4) vs KMC (A)
5) vs Geita (H)

Mechi tano zijazo za Simba

1) vs Dodoma (A)
2) vs Singida (H)
3) vs Yanga (H)
4) vs Azam (H)
5) vs Mtibwa (A)
 
Back
Top Bottom