Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.

View attachment 2489045
Hufu inakuja ukiwa na akili timamu tuu

Katika mechi 20 Yanga alizocheza kapoteza jumla ya point 7

Kwa nini ujipe matumaini sana kwamba atapoteza points 6 ndani ya mechi 10
 
Kwa maani hiyo kwastani katika mechi 10 Yanga atapoteza point 4. Tuchukulie simba hatapoteza mchezo.Yaani aifunge Mtibwa(A),aifunge Ihefu(A) aifunge Yanga(H) na ifunge Namungo(A). Wakati huo Simba ipo katika mashindano ya Championships na mastreka wenyewe kina Boko na Kibu.
 
Yanga anahitaji kushinda mechi nane tu ili awe bingwa.....
Ni mechi tisa sio nane. Simba wana mtaji mkubwa sana wa magoli. Kwa utofauti wa point sita, inatakiwa Yanga ashinde mechi tisa. Ila endapo Simba atazidi kuzipoteza alama tatu ndipo itazidi kumpunguzia Yanga idadi ya mechi
 
Ni mechi nane zinazofuatana na siyo Tisa, maana kwenye hizo nane na Simba imo, ikitokea ameshinda hizo nane game mbili zake za mwisho ni prisons na mbeya city so anakuwa tayari ameizidi Simba points 9 hata akipoteza hizo mbili still anakuwa winner Kwa points 3..
 
Nimekupata mkuu
 
Simba wanaidharau yanga, lakini yanga hatuidharau simba....lakini ndani ya box yanga ni baba Leo....simba acheni dharau coz anguko kubwa liko mbele yenu, ukichunguza utangudua simba inarudi nyuma kwa performance meanwhile yanga ndio inajijenga....simba kuweni makini muache dharau kwa yanga, hata kusema bahasha, mara refa, mara nini....hizi ni dharau lkn Sisi hatujali tunazidi kujijenga kwa maneno na dharau zenu...NASHUKURU
 
Lazima tulete dharau. Tuna uhakika wa kupata penalties na red cards za kutosha kwa opponents wetu.
 
Yani hofu iliyopo hakuna timu unaitazama inaweza kuifunga Yanga hata simba yenyewe labda itokee kudra tu.

Sasa kama wewe upo nafasi ya pili huna uwakika w kuifunga yanga unapata picha gani kwa waliobaki?
 
Mechi tano zijazo za Yanga:

1) vs Ruvu Shooting (H)
2) vs Namungo (H)
3) vs Simba (A)
4) vs KMC (A)
5) vs Geita (H)

Mechi tano zijazo za Simba

1) vs Dodoma (A)
2) vs Singida (H)
3) vs Yanga (H)
4) vs Azam (H)
5) vs Mtibwa (A)
Simba ana mlima
 
Back
Top Bottom