Simba wana hofu ipi? Yanga ikipoteza mechi 2 tu watalingana points lakini simba ataongoza kwa magoli

Ndio hapo mwaka jana simba aliachia point kwa uzembe wake, alikuwa akipanga kikosi dhaifu mfano mechi ya polisi Moshi huku yanga akipoteza point kwa sare za kutosha na timu za Ruvu, Namungo, Mbeya kwanza n.k sema simba iliingia kwenye mtego wa kukatishwa tamaa.
 
Duh ajisemee mtangazaji mmoja wa planet fm. Angelikuwa kiongozi wa Dodoma jiji halafu wafungwe na simba, anatimua wote. Mechi ya Jumapili mkae vyema, mkidondosha tu wananchi bingwa.
 
katika mechi 10 zilizobaki, pale kwa mkapa siku ya derby mnyama anashinda na kuna mechi nyingine ipo tunajua kabisa Yanga hatoboi.


View attachment 2489045
Mechi tano zijazo za Yanga:

1) vs Ruvu Shooting (H)
2) vs Namungo (H)
3) vs Simba (A)
4) vs KMC (A)
5) vs Geita (H)

Mechi tano zijazo za Simba

1) vs Dodoma (A)
2) vs Singida (H)
3) vs Yanga (H)
4) vs Azam (H)
5) vs Mtibwa (A)
 
Mechi tano zijazo za Yanga:

1) vs Ruvu Shooting (H)
2) vs Namungo (H)
3) vs Simba (A)
4) vs KMC (A)
5) vs Geita (H)

Mechi tano zijazo za Simba

1) vs Dodoma (A)
2) vs Singida (H)
3) vs Yanga (H)
4) vs Azam (H)
5) vs Mtibwa (A)
Simba na Yanga mwezi wa 4 ndugu
 
Dogo kakojoe ukalale.. hii Yanga ninayoijua mm uje uifunge mechi ya Derby πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa wachezaji gani uliokuwanao..!!! Hawahawa Akina Sako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…