Tokea lini ukawa kocha wa Simba?Ama kweli mbumbumbu wanakwenda ki mihemko uyo jamaa anacheza kiungo mshambuliaji Sasa Simba walivyo sikia Yanga Wana mtaka Waka kurupuka Sasa sijui anakwenda kucheza namba ngapi wakati tatizo sugu la Simba ni namba 6.