Simba wana kibarua kigumu mbele ya KMC

Simba wana kibarua kigumu mbele ya KMC

KMC waliwasumbua Sana Yanga watoto wa jangwani wakabahatisha ushindi wa jioni Sana na goli la feisal Salum,
Azam wao waliambulia sare ya 2_2
Simba Leo sioni wakishindwa kula hiki kiporo Ni kupasha tu
 
Angalau leo umekubali kuionyesha ile sura yako ya siku zote uliyokuwa unaificha. Brave usije kosa cha kusema tu.
Sura gani Swaiba? Hapo nimetoa tathmini ya kichambuzi kabisa nikiwa Kama mchambuzi huru nguli
 
Na moja ya ajabu ni Simba kumpigia Nkana goli zisizo pungua 2 na KMC kuangukia pua.
Bila kusahau ajabu kubwa la Zahera kwenda Ufaransa kufanya shopping ya Xmas
KMC Leo wanawapiga, Nkana Red Devil nao watawapiga. Hahaha football inamaajabu sana
 
Hahaha tusubiri mkuu tuone maajabu ya soka, na Leo mtataka mtoke uwanjani wa mwisho?
Na moja ya ajabu ni Simba kumpigia Nkana goli zisizo pungua 2 na KMC kuangukia pua.
Bila kusahau ajabu kubwa la Zahera kwenda Ufaransa kufanya shopping ya Xmas
 
Sura gani Swaiba? Hapo nimetoa tathmini ya kichambuzi kabisa nikiwa Kama mchambuzi huru nguli
Aah wapi. Sura ya kuwa we ni shabiki wa Mikia sababu umeandika kishabiki pale. Kwa aina hii ya uchambuzi hata sikukubali Swahiba.

Uchambuzi wa kulalia sehemu moja. We ni mshabiki wa Mikia tu na ndio ukweli huo.
 
Back
Top Bottom