Sitasahu nataka tuhesabu wote hapaUsijali mdogo wangu unitag tu ntakuja.
Afadhali umenijibia. Wanaombea iwe mazima eti.Shopping kwa ajili ya Krismas na mwaka mpya
Angalau leo umekubali kuionyesha ile sura yako ya siku zote uliyokuwa unaificha. Brave usije kosa cha kusema tu.Kwani ubora wa Simba hiki kipora kilaliwa Bila pilipili Wala kachumbali
Ewaaaaa.Sitasahu nataka tuhesabu wote hapa
Uje na kapu la kuhifadhia magoli ya Wana KinondoniEwaaaaa.
Haya ulitakiwa uyaseme kesho Brave baada ya mechi.KMC waliwasumbua Sana Yanga watoto wa jangwani wakabahatisha ushindi wa jioni Sana na goli la feisal Salum,
Azam wao waliambulia sare ya 2_2
Simba Leo sioni wakishindwa kula hiki kiporo Ni kupasha tu
Sura gani Swaiba? Hapo nimetoa tathmini ya kichambuzi kabisa nikiwa Kama mchambuzi huru nguliAngalau leo umekubali kuionyesha ile sura yako ya siku zote uliyokuwa unaificha. Brave usije kosa cha kusema tu.
Kwani wewe unashaka na uwezo wake Simba?Haya ulitakiwa uyaseme kesho Brave baada ya mechi.
Muda wa mechi ntakuwa nisharudi home nina kapu langu hilo ntakuja nalo ila ala ala nisije nikarudi nalo tupu tu.Uje na kapu la kuhifadhia magoli ya Wana Kinondoni
KMC Leo wanawapiga, Nkana Red Devil nao watawapiga. Hahaha football inamaajabu sana
Dada leo usijali tafuta mwenzako wa kukusaidia kubebaMuda wa mechi ntakuwa nisharudi home nina kapu langu hilo ntakuja nalo ila ala ala nisije nikarudi nalo tupu tu.
Na moja ya ajabu ni Simba kumpigia Nkana goli zisizo pungua 2 na KMC kuangukia pua.
Bila kusahau ajabu kubwa la Zahera kwenda Ufaransa kufanya shopping ya Xmas
Aah wapi. Sura ya kuwa we ni shabiki wa Mikia sababu umeandika kishabiki pale. Kwa aina hii ya uchambuzi hata sikukubali Swahiba.Sura gani Swaiba? Hapo nimetoa tathmini ya kichambuzi kabisa nikiwa Kama mchambuzi huru nguli
Hahaha tusubiri mkuu tuone maajabu ya soka, na Leo mtataka mtoke uwanjani wa mwisho?
Huwa hawakubali ukweli lakini huu kwa % kubwa ndio ukweli.KMC Leo wanawapiga, Nkana Red Devil nao watawapiga. Hahaha football inamaajabu sana
Nitakuja naye yule jamaa anaitwa DAFU NA NDIMU. Mwanayanga mwenzangu huyu 😂😂Dada leo usijali tafuta mwenzako wa kukusaidia kubeba