Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Huyu atakimbia uzi baadae wewe usiwe na wasiwasi naeAiseeee yani uifananishe Simba na Prison ?
Acha kutuvunjia heshima
Ningempa KMC potelea pote mkeka wangu ukichanika. ππ[emoji38][emoji38]tatizo unasoma kishabiki ndo maana unadhani hivo
Hivi mfano ndo unabet wewe Apo ungempa Nani anashinda?
Mwisho wa siku hao wa akiba wote mnawaingiza. πππHiyo namba 2 waisome vizuri [emoji23][emoji23]
18:00hrsMechi itakuwa saa ngapi?
Ok, ahsante sana.18:00hrs
Swaiba hayo sio mapenzi Tena Ni mahaba daaahNingempa KMC potelea pote mkeka wangu ukichanika. [emoji23][emoji23]
Wanashinda na njaa au?KMC anashinda leo, watajuta kupasha kiporo wakiwa wanasubiri kufungwa na nkana jpili
Hii kauli hutoisema baada ya mechiNakazia. "WANA KIBARUA KIGUMU"
Hawajui viporo hawa.KMC anashinda leo, watajuta kupasha kiporo wakiwa wanasubiri kufungwa na nkana jpili
Kwa nini?Hii kauli hutoisema baada ya mechi
πππWanashinda na njaa au?
Simba twashinda kwa kishindoKwa nini?
Tusubiri tuone japo si rahisi hivyoSimba twashinda kwa kishindo
Kuwa na subiraTusubiri tuone japo si rahisi hivyo
Mikia wanakufa 2-1Hebu ukooo! Mashabiki wa Yanga hatupogo hivyo Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23]