Biashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage.
Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai hela Aston Villa?
Nadhani unakisia tuGeneral Mangi uko sahihi, Genk watalipa 10% kwa Tp Mazembe, Nao Tp Mazembe watatoa 10% ya kiasi walichopewa na Genk. Kwa hiyo hapo ni sawa na asilimia 1% , ambayo ni milioni 23( hapo bado kodi haijakatwa) hivyo ndio hesabu inavyokwenda kama hicho kipengele cha 10% kipo.
Simba wanapata commission kama timu yake ya utotoniBiashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.
Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.
Inaitwa Kimbangulile hiyo academyAfrica Lyon nao walipata? Je, ile academia iliyomuibua?
Sio kweli mkuu, ukweli kuwa simba ana mgao wake hapoBiashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.
Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.
Na African Lyon au Mbaghala Market fc ni timu za akiwa mchanga!!!? Acheni kujitia upofu Simba haikuwahi kumlea Samata.... Alipita Simba kama alivyo pita Mazembe, ingawa Mazembe aliitumikia sana kulinganisha na SimbaSimba wanapata commission kama timu yake ya utotoni
Senior carrier yake kaianzia wapi?Na African Lyon au Mbaghala Market fc ni timu za akiwa mchanga!!!? Acheni kujitia upofu Simba haikuwahi kumlea Samata.... Alipita Simba kama alivyo pita Mazembe, ingawa Mazembe aliitumikia sana kulinganisha na Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mkataba upi? Simba issue yake iliishia kwa TP MazembeSio
Sio kweli mkuu, ukweli kuwa simba ana mgao wake hapo
Hakuna kitu kama hicho.Simba wanapata commission kama timu yake ya utotoni
Alipouzwa Genk nan alipata mgao kati ya simba na lyon?kwani timu yake ya utotoni ilikuwa Simba?
Alipouzwa Genk nan alipata mgao kati ya simba na lyon?Hakuna kitu kama hicho.
Timu aliyochezea kabla ya kuingia Simba labda.
For a simple reason. Mkataba wa Simba na TP Mazembe ulilkuwa na item hiyo.Alipouzwa Genk nan alipata mgao kati ya simba na lyon?
Kwa hiyo hivyo vigezo vinazuia lyon kudai chao? Samatta kaanza senior carrier timu gani?For a simple reason. Mkataba wa Simba na TP Mazembe ulilkuwa na item hiyo.
African Lyon wangeweza kudai chochote kama timu iliyomlea lakini kuna vigezo vyake kwa kanuni za FIFA
Kwenye Dili la kwenda Genk simba ilipata mgao , mbona hoja yako haikuwa na nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chura samatta anakuhusu nini?? Nenda kajadili mamolinga yako!Tusijemharibia Samatta huko aendako kwa kutanguliza njaa zetu. Nadhani tuache figisu kijana ashindwe mwenyewe
Mbumbumbu hajafichiSimba shangilia shavu la Aston linakuja. Akina Nugaz na YangaBakuli yao walie tu!!!