Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Biashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage.
Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai hela Aston Villa?
Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.