Simba wana mgao kwa Samatta kwenda Aston Villa?

Kuna mpango wa Simba kutakiwa kuidai Aston Villa hela ya uhamisho wa Mbwana Samatta kutoka Genk kwenda Aston Villa kwa mujibu wa Aden Rage.

Sheria za uhamisho wa wachezaji zinaruhusu Simba kudai hela Aston Villa?
Biashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.

Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.
 
General Mangi uko sahihi, Genk watalipa 10% kwa Tp Mazembe, Nao Tp Mazembe watatoa 10% ya kiasi walichopewa na Genk. Kwa hiyo hapo ni sawa na asilimia 1% , ambayo ni milioni 23( hapo bado kodi haijakatwa) hivyo ndio hesabu inavyokwenda kama hicho kipengele cha 10% kipo.
Nadhani unakisia tu
 
Biashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.

Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.
Simba wanapata commission kama timu yake ya utotoni
 
Sio
Biashara ilikwisha kwa Samatta kwenda Genk.

Kuna mgao, basi unaweza kuwa wa TP Mazembe kama waliweka kipengele hicho wakati wanammuza kwenda Genk.
Sio kweli mkuu, ukweli kuwa simba ana mgao wake hapo
 
Alipouzwa Genk nan alipata mgao kati ya simba na lyon?
For a simple reason. Mkataba wa Simba na TP Mazembe ulilkuwa na item hiyo.
African Lyon wangeweza kudai chochote kama timu iliyomlea lakini kuna vigezo vyake kwa kanuni za FIFA
 
Kwa hiyo hivyo vigezo vinazuia lyon kudai chao? Samatta kaanza senior carrier timu gani?
 
Back
Top Bottom