muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Unajitekenya harafu una cheka.kaa Kwa kutuliaYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.