muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Unajitekenya harafu una cheka.kaa Kwa kutuliaYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Watafute kwanza CEO huyo Imani ni hovyo kabisa.Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Tuvute subira,,,usiku wa deni haukawiiTutawapa tena bahasha hiyo 13 April kama tulivyowapa 5 November.
Vijana wa Mangungu mtasubiri sana. Malengo ya Yanga ni kuwa Bingwa wa Ligi kuu kwa miaka 10 mfululizo. Na ndani ya hiyo miaka 10, tumejipanga pia kuchukua klabu bingwa Afrika.Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
πππππKaka nyinyi labda mwakaniYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Yanga wanatakiwa washinde mechi mbiliYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
MojaYanga wanatakiwa washinde mechi mbili
Baada ya simba kufungwa na yanga aliaga rasmi ubingwaYanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.