Simba wana sababu za msingi na zisizo za msingi kutoleta timu June 25

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu sio wewe
 
Ni kujitia tu pressure za kijinga wa kwetu , huku viongozi wakituona kama mazombi tunakejeliana kimpira.
 
Simba hana jeuri yabkutokucheza trh 25, kwenye siasa simba ni sawa na CHAUMA πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati huo yanga ni sawa na Chadema.
 
Simba hana jeuri yabkutokucheza trh 25, kwenye siasa simba ni sawa na CHAUMA πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati huo yanga ni sawa na Chadema.
Ccm mpaka rangi.
 
Serikali inazuiwa na kanuni za fifa kuingilia mambo ya mpira. Mchezo wa trh 15 uliahirshwa baada ya mh rais kuwa na kikao nao. Nini aliwaamuru, aliwaelekeza ( kiongozi akishauri hilo ni agizo) mimi sijui. Weledi wa tff upo mashakani, ipo siku rungu la fifa litatua Tanzania.
 
Hii yote ni kutokana na TFF dhaifu then kuna mtu ana support huyu kiumbe Karia aendelee !! What a joke!
 
Mamlaka za mpira ndio zimetangaza kila kitu na siyo serikali.

Ila Msigwa anapokuja na mapesa ya goli la mama huwa hamuioni serikali hapo.

Mmepewa ndege bure na Rais kwenda Morroco mkajaza wahuni kwenye ndege badala ya mashabiki pale hamkuona mkono wa serikali?

Huu ndio ushahidi wa umbumbumbu.

Zamani BMT ilikuwa inaingilia direct maamuzi ya FAT ndio sababu ya Fifa kukataa serikali kuingilia mpira.

Zamani ukifanywa chochote na FAT unakwenda kukata rufaa BMT mpaka kwa waziri wa michezo na waziri wa michezo alikuwa na mamlaka ya kubatilisha maamuzi ya FAT.

Sidhani ulikuwa umeshazaliwa maana umeandika ujinga usioujuwa na hujui kama kulikuwa na wapuuzi wawili wa kuitwa Ndolanga na Rage hawa walituendesha haswa kama gari bovu.
 
Mtoto wa 2000 huyu hajui chochote kuhusu Fat ya Mzee ndolonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…