Simba wanabebwa waziwazi na TFF

Simba wanabebwa waziwazi na TFF

Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.
Namungo hawakutolewa pamoja na Simba, relax kidogo mkuu. Namungo amecheza Shirikisho akaishia makundi, wakati Simba amecheza Champions League akaishia robo fainali. Hebu angalia tarehe za mechi zao za mwisho kila moja, halafu ndio ujue kwa nini Namungo aliwahi kuanza kucheza viporo vya Ligi ya Bara:

1624140296506.png
 
Metacha amekupata panapostahiki ndiyomana akili zimehamia palipotwanga Finger
16241664901400.35752847113393516.jpg
 
Ila hili na team moja kucheza mechi chache zaidi ya 4 hili haliko sawa japo sisemi labda kuna kubebwa ila linaleta dhana kama hizi, ulaya wanacheza zaidi ya sisi lakini hukuti haya mambo hata kama ukiona mtu yuko nyuma basi labda mpinzani wake waliendelea katika hatua za vikombe kama FA lakini watalipa haraka sisi huku hiyo CAF yenyewe inachezwa baada ya miezi lakini mtu unakuta ana viporo 4 mpaka league inakaribia kuisha kwa hili sio sawa na sio kwa Simba tu kwa team yoyote hili sio sawa.
Basi yanga wagome kucheza mechi zao mpaka pale simba watapomaliza viporo vyao labda inaweza kuwasaidia. N.B. ukishinda mechi zako hautokaa kuangalia viporo vya mwenzako.
 
Tafuteni hela utopolo ,mpungunze kulialia .uchambuzi wako ujafanya utafiti vizuri
Namungo na Simba walifika level tofauti,na mechi zilitofautiana idadi.
 
Basi yanga wagome kucheza mechi zao mpaka pale simba watapomaliza viporo vyao labda inaweza kuwasaidia. N.B. ukishinda mechi zako hautokaa kuangalia viporo vya mwenzako.
Mimi sijaongelea uyanga wa usimba hapa hii league ya team 18 ili kuondoa dhana ya team kujuwa wanatakiwa kufanya nini ni kuwa na game sawa na ndio maana kuna nchi kama Italy bado ikibaki wiki 3 za mwisho mechi zinachezwa muda sawa sasa tukitaka kuongelea mambo muhimu namna ya league inatakiwa ichezwe watu wanaleta uyanga au usimba.
 
Sasa ushawahi kujiuliza ni kwanini upangaji wa ratiba ulaya unakuwa rahisi kuliko huku Africa?.
 
nakushauri kaangalie ligi ya misri uje uongee tena,namungo aliishia wapi na simba aliishia wapi?kama simba angefika nusu fainali unadhani nini kingetokea
 
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.

Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa

Yanga juzi alicheza na kesho anacheza ila simba ndani ya siku 20 amecheza gemu moja.

Simba mnabebwa lazima muambiwe ukweli

Tanzania tuliaminishwa hakuna covd ila cha kushangaza ligi mpaka mwezi 7 itakuwa haijaisha

Najiuliza tu usajili unaanza lini na timu zitafanya lini pre season

TFF ni takataka kabisa
Mkuu nakuunga mkono 100%. Kule TFF kuna tutusa moja linaitwa Karia limekalia siasa na kuharibu kabisa mpira wa Tanzania halafu eti linachukua fomu kugombea tena. Nawashangaa sana watanzania kwa ujinga huu wa kuliruhusu hili liumbwa kugombea tena. Inauma sana.
 
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.

Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa

Yanga juzi alicheza na kesho anacheza ila simba ndani ya siku 20 amecheza gemu moja.

Simba mnabebwa lazima muambiwe ukweli

Tanzania tuliaminishwa hakuna covd ila cha kushangaza ligi mpaka mwezi 7 itakuwa haijaisha

Najiuliza tu usajili unaanza lini na timu zitafanya lini pre season

TFF ni takataka kabisa
Tatizo mnakurupuka:
Angalia stages za michezo ya klabu bingwa na shirikisho ilivyokuwa ujifunze kitu.
 
Back
Top Bottom