Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yule kocha wao alishasema aina ya mashabiki wa Utopolo walivyo, matokeo yake wakamfurusha!Kitendo alichowafanyia washabiki uchwara wa Utopolo ni sahihi kabisa
Namungo hawakutolewa pamoja na Simba, relax kidogo mkuu. Namungo amecheza Shirikisho akaishia makundi, wakati Simba amecheza Champions League akaishia robo fainali. Hebu angalia tarehe za mechi zao za mwisho kila moja, halafu ndio ujue kwa nini Namungo aliwahi kuanza kucheza viporo vya Ligi ya Bara:Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.
Basi yanga wagome kucheza mechi zao mpaka pale simba watapomaliza viporo vyao labda inaweza kuwasaidia. N.B. ukishinda mechi zako hautokaa kuangalia viporo vya mwenzako.Ila hili na team moja kucheza mechi chache zaidi ya 4 hili haliko sawa japo sisemi labda kuna kubebwa ila linaleta dhana kama hizi, ulaya wanacheza zaidi ya sisi lakini hukuti haya mambo hata kama ukiona mtu yuko nyuma basi labda mpinzani wake waliendelea katika hatua za vikombe kama FA lakini watalipa haraka sisi huku hiyo CAF yenyewe inachezwa baada ya miezi lakini mtu unakuta ana viporo 4 mpaka league inakaribia kuisha kwa hili sio sawa na sio kwa Simba tu kwa team yoyote hili sio sawa.
Mimi sijaongelea uyanga wa usimba hapa hii league ya team 18 ili kuondoa dhana ya team kujuwa wanatakiwa kufanya nini ni kuwa na game sawa na ndio maana kuna nchi kama Italy bado ikibaki wiki 3 za mwisho mechi zinachezwa muda sawa sasa tukitaka kuongelea mambo muhimu namna ya league inatakiwa ichezwe watu wanaleta uyanga au usimba.Basi yanga wagome kucheza mechi zao mpaka pale simba watapomaliza viporo vyao labda inaweza kuwasaidia. N.B. ukishinda mechi zako hautokaa kuangalia viporo vya mwenzako.
Sasa ushawahi kujiuliza ni kwanini upangaji wa ratiba ulaya unakuwa rahisi kuliko huku Africa?.Mimi sijaongelea uyanga wa usimba hapa hii league ya team 18 ili kuondoa dhana ya team kujuwa wanatakiwa kufanya nini ni kuwa na game sawa na ndio maana kuna nchi kama Italy bado ikibaki wiki 3 za mwisho mechi zinachezwa muda sawa sasa tukitaka kuongelea mambo muhimu namna ya league inatakiwa ichezwe watu wanaleta uyanga au usimba.
Mashabiiki wa Utopolo katika ubora waoHata yule kocha wao alishasema aina ya mashabiki wa Utopolo walivyo, matokeo yake wakamfurusha!
Mkuu nakuunga mkono 100%. Kule TFF kuna tutusa moja linaitwa Karia limekalia siasa na kuharibu kabisa mpira wa Tanzania halafu eti linachukua fomu kugombea tena. Nawashangaa sana watanzania kwa ujinga huu wa kuliruhusu hili liumbwa kugombea tena. Inauma sana.Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.
Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa
Yanga juzi alicheza na kesho anacheza ila simba ndani ya siku 20 amecheza gemu moja.
Simba mnabebwa lazima muambiwe ukweli
Tanzania tuliaminishwa hakuna covd ila cha kushangaza ligi mpaka mwezi 7 itakuwa haijaisha
Najiuliza tu usajili unaanza lini na timu zitafanya lini pre season
TFF ni takataka kabisa
Hahahahahahaha! Mkuu umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Mashabiiki wa Utopolo katika ubora waoView attachment 1826082View attachment 1826083View attachment 1826084
Du hilo finga sio la nchi hii aisee!!!Metacha amekupata panapostahiki ndiyomana akili zimehamia palipotwanga Finger
View attachment 1824200
Tatizo mnakurupuka:Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.
Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa
Yanga juzi alicheza na kesho anacheza ila simba ndani ya siku 20 amecheza gemu moja.
Simba mnabebwa lazima muambiwe ukweli
Tanzania tuliaminishwa hakuna covd ila cha kushangaza ligi mpaka mwezi 7 itakuwa haijaisha
Najiuliza tu usajili unaanza lini na timu zitafanya lini pre season
TFF ni takataka kabisa
Karia huyohuyo nasikia ameibeba pia Timu ya Yanga u20 kutinga Fainali