Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo huo wakitafuta la kusema ili kujifsariji huku wao wenye wanachechemea.
Hata ukija kwenye msimamo wa kundi, kinara wa kundi AL Ahyl ana point 5, huku Medeama na CRB wana point 4 na Yanga ana point 2. Sasa kwa msimamo huu, si ni swala la mechi moja tu inayofuata tena ya nyumbani inayoweza kumfanya hata Yang afikie point za kinara wa kundi? Sasa najiuliza, wenzetu hawa wanawaza kwa kutumia akili au matope au makalio?
Kwa sasa hata mwenye point sifuri, bado anaweza kufuzu ila mnavyojitoa akili, utadhani Yanga point zake ni negative. Pambaneni na ya kwenu.
Anyway, kipigo cha 5G kimeharibu fuse kwenye vichwa vya Makolo, hivyo sio kosa lao. kwa kifupi, hawa jamaa bado wana hasira za hicho kipiogo na zaidi wako frustrated na timu yao mbovumbovu.
Tuwapotezee, tuendelee na mikakati ya mechi inayofuata ya nyumbani.