Ila uto offside mnataka zifutwe.Simba hii mbovu!!
Hawa Makolo ni vilaza kupindukia wanaropoka tu hovyo humu.Mzee si anaweza poteza dhidi ya CR Mkuu huku tukimfunga Madeama hapa kwetu? Huoni faida ya Yanga ya kuwa na mechi 2 nyumbani mkuu ambapo atachukua point 6? Kundi lipo wazi na hata coach wa Madeama kasema hilo kwenye interview ya baada ya mechi. Msilazimishe furaha.
Hii kitu kwa miaka mingi huwa siipendi ni bora itazamwe upya.Ila uto offside mnataka zifutwe.
All the bestKaa kwa kutulia uone jinsi leo wanaume wanavyoiheshimisha Tanganyika
Yanga hamna timu ya klabu bingwa mle.Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo huo wakitafuta la kusema ili kujifsariji huku wao wenye wanachechemea.
Hata ukija kwenye msimamo wa kundi, kinara wa kundi AL Ahyl ana point 5, huku Medeama na CRB wana point 4 na Yanga ana point 2. Sasa kwa msimamo huu, si ni swala la mechi moja tu inayofuata tena ya nyumbani inayoweza kumfanya hata Yang afikie point za kinara wa kundi? Sasa najiuliza, wenzetu hawa wanawaza kwa kutumia akili au matope au makalio?
Kwa sasa hata mwenye point sifuri, bado anaweza kufuzu ila mnavyojitoa akili, utadhani Yanga point zake ni negative. Pambaneni na ya kwenu.
Anyway, kipigo cha 5G kimeharibu fuse kwenye vichwa vya Makolo, hivyo sio kosa lao. kwa kifupi, hawa jamaa bado wana hasira za hicho kipiogo na zaidi wako frustrated na timu yao mbovumbovu.
Tuwapotezee, tuendelee na mikakati ya mechi inayofuata ya nyumbani.
AahaaaaYanga hamna timu ya klabu bingwa mle.
Wanacheza kukimbia tu mwanzo mwisho. Papatu papatu tu.
Sasa kundi lenu mtamfunga Nani aliyebaki.
Yule mliedhani kibonde Ndiyo huyo mmedroo nae,
Na nyie mnaotaka sheria ya offside ifutwe tuwaiteje ? Aibu kubwaHawa Makolo ni vilaza kupindukia wanaropoka tu hovyo humu.
Kwamba atachukua point 6 nyumbani sio? Huu uhakika mnautoa wapi ikiwa kila team inaingia uwanjani kupambana?Mzee si anaweza poteza dhidi ya CR Mkuu huku tukimfunga Madeama hapa kwetu? Huoni faida ya Yanga ya kuwa na mechi 2 nyumbani mkuu ambapo atachukua point 6? Kundi lipo wazi na hata coach wa Madeama kasema hilo kwenye interview ya baada ya mechi. Msilazimishe furaha.
Mbona unafikiri kama team zingine hazichezi mnacheza nyinyi TU Ili kufikisha point za anaeongoza kundi ,tumia akili usiwe na haraka ,unao ubongo tumia hiyo rasilimali vizuri.Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo huo wakitafuta la kusema ili kujifsariji huku wao wenye wanachechemea.
Hata ukija kwenye msimamo wa kundi, kinara wa kundi AL Ahyl ana point 5, huku Medeama na CRB wana point 4 na Yanga ana point 2. Sasa kwa msimamo huu, si ni swala la mechi moja tu inayofuata tena ya nyumbani inayoweza kumfanya hata Yang afikie point za kinara wa kundi? Sasa najiuliza, wenzetu hawa wanawaza kwa kutumia akili au matope au makalio?
Kwa sasa hata mwenye point sifuri, bado anaweza kufuzu ila mnavyojitoa akili, utadhani Yanga point zake ni negative. Pambaneni na ya kwenu.
Anyway, kipigo cha 5G kimeharibu fuse kwenye vichwa vya Makolo, hivyo sio kosa lao. kwa kifupi, hawa jamaa bado wana hasira za hicho kipiogo na zaidi wako frustrated na timu yao mbovumbovu.
Tuwapotezee, tuendelee na mikakati ya mechi inayofuata ya nyumbani.
We unaangaika na iyo timu ya wastaafu, kipigo kile Cha Kono la nyani kilifyatua fyuzi zote vichwani mwao, wamebaki kutafuta furaha ya kulazimisha na mpira unachezwa hadharani na bingwa wa caf champions league atatokea kwenye KUNDI la yanga na sio vinginevyoHawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo huo wakitafuta la kusema ili kujifsariji huku wao wenye wanachechemea.
Hata ukija kwenye msimamo wa kundi, kinara wa kundi AL Ahyl ana point 5, huku Medeama na CRB wana point 4 na Yanga ana point 2. Sasa kwa msimamo huu, si ni swala la mechi moja tu inayofuata tena ya nyumbani inayoweza kumfanya hata Yang afikie point za kinara wa kundi? Sasa najiuliza, wenzetu hawa wanawaza kwa kutumia akili au matope au makalio?
Kwa sasa hata mwenye point sifuri, bado anaweza kufuzu ila mnavyojitoa akili, utadhani Yanga point zake ni negative. Pambaneni na ya kwenu.
Anyway, kipigo cha 5G kimeharibu fuse kwenye vichwa vya Makolo, hivyo sio kosa lao. kwa kifupi, hawa jamaa bado wana hasira za hicho kipiogo na zaidi wako frustrated na timu yao mbovumbovu.
Tuwapotezee, tuendelee na mikakati ya mechi inayofuata ya nyumbani.
Hiyo sheria kuna wakati utakuja wataitazama upya ina ujinga mwingi.Na nyie mnaotaka sheria ya offside ifutwe tuwaiteje ? Aibu kubwa
Leo wanapigwa si chini ya bao 3.Aahaaaa
Shinda au droo leo
Kinyume na hapo wewe na Yanga mtakuwa sare sare
Kwani huwa inatumika kwenye mechi za Yanga tu mkuu? Vumilieni tu hata sisi yanatukuta ila tunapotezea tu na kusonga mbeleHiyo sheria kuna wakati utakuja wataitazama upya ina ujinga mwingi.
Wacha ramli chonganishi saa nne siyo mbali. Ukiweka matumaini ya Simba afungwe ili upate relief akifunga utaumia zaidi. Just relax huu mchezo ni wa kikatili sana hautaki makasiriko.Leo wanapigwa si chini ya bao 3.