Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Nilijihisi nipo katikati ya ndoto ya kutisha nilipotazama 'odds' za Simba asubuhi ya leo. 20+ kwa Simba hii?? Muhindi aliamini Simba anaenda kufa kirahisi.
Kwa kutazama historia, Al Ahyl alipaswa kuwa na mechi rahisi leo. Kitu kilichosahaulika kwenye historia ni kwamba, Hii ni Simba tofauti na ile iliyozoeleka.
Yes, Simba wamefungwa lakini siyo kama wapinzani wao walivotazamia. Naamini Al Ahyl hawakutegemea kupata nyakati ngumu kwa Simba kama walizopata leo tena katika uwanja wao unaosifika kwa ugumu.
Kama hawa ndio mabingwa watetezi, tena wenye kikosi na benchi ghali zaidi Afrika, kwanini Simba wasiwe na mawazo ya kufanya kitu kikubwa zaidi ya robo fainali?? Kwa level waliyofika Simba, wanastahili kufikiria mbali zaidi ya robo fainali.