Simba, wanastahili kufikiria mbali zaidi ya robo fainali

Simba, wanastahili kufikiria mbali zaidi ya robo fainali

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Nilijihisi nipo katikati ya ndoto ya kutisha nilipotazama 'odds' za Simba asubuhi ya leo. 20+ kwa Simba hii?? Muhindi aliamini Simba anaenda kufa kirahisi.

Kwa kutazama historia, Al Ahyl alipaswa kuwa na mechi rahisi leo. Kitu kilichosahaulika kwenye historia ni kwamba, Hii ni Simba tofauti na ile iliyozoeleka.

Yes, Simba wamefungwa lakini siyo kama wapinzani wao walivotazamia. Naamini Al Ahyl hawakutegemea kupata nyakati ngumu kwa Simba kama walizopata leo tena katika uwanja wao unaosifika kwa ugumu.

Kama hawa ndio mabingwa watetezi, tena wenye kikosi na benchi ghali zaidi Afrika, kwanini Simba wasiwe na mawazo ya kufanya kitu kikubwa zaidi ya robo fainali?? Kwa level waliyofika Simba, wanastahili kufikiria mbali zaidi ya robo fainali.

jr_farhanjr-___CNdaIi2LPDp___-.jpg
 
Simba mzunguko wote huu wa mechi sita karuhusu goli mbili tu.

Kapoteza mechi moja tu kwa goli moja.

Al Ahly wameshinda lakini cha moto wamekiona. Kwenye mpira pia kuna bahati,leo kwa mpira waliocheza Simba na shuti la Mequeson lililogonga post utakubaliana na mimi leo bahati aikua kwa Simba.

Kwa matokeo ya leo mimi kama shabiki wa Simba nimefurahi ukizingatia Simba imeshafuzu kwenda robo.
 
Nimeshangaa hata jana sikuona kama wachezaji wanateseka na baridi wamevaa jezi mikono mifupi wako comfortable nakumbuka zile 5-0 zamwaka juzi yaani walikuwa hadi wanatetemeka, confidence iko juu mno wanatupa moyo sana kwa kweli halafu kuna watu wanakuambia tumfukuze MO tumpe team kigwangwala said bagaile.
 
Aly Ahly atatolewa na Mamelod ukweli ni huo na ktk upangaji timu nyingi zitakwepeshwa na Simba.

Hawa waarabu wa Algeria wajiandae kipigo tu maana tunaanza kwao na kule hatutafuti sare kama wanavyofikiri ni ushindi tu,hapa kwa Mkapa tunamaliza sherehe.

Mwaka wa neema kwetu ni huu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
nimeshangaa hata jana sikuona kama wachezaji wanateseka na baridi wamevaa jezi mikono mifupi wako comfortable nakumbuka zile 5-0 zamwaka juzi yaani walikuwa hadi wanatetemeka,confidence iko juu mno wanatupa moyo sana kwa kweli halafu kuna watu wanakuambia tumfukuze MO tumpe team kigwangwala said bagaile
Haaaahaaaaahaaaa unajua usirudie hiyo tabia yako nimeumia mbavu.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Simba mzunguko wote huu wa mechi sita karuhusu goli mbili tu.
Kapoteza mechi moja tu kwa goli moja.
Al Ahly wameshinda lakini cha moto wamekiona.Kwenye mpira pia kuna bahati,leo kwa mpira waliocheza Simba na shuti la Mequeson lililogonga post utakubaliana na mimi leo bahati aikua kwa Simba.
Kwa matokeo ya leo mimi kama shabiki wa Simba nimefurahi ukizingatia Simba imeshafuzu kwenda robo.
Ukiingia kwenye page yao ya facebook asilimia 99 wanasena ulichosema wewe nakuhakikishia kama jana shuti la luis lingeingia golini na simba kupata draw leo pitso mosimane alikuwa anafukuzwa ila kwenye comments wengi sana wameisifia simba wanashangaa ilivyobadilika ,ingia fb official page ya alh alhly bonyeza translation ya comments utacheka sana.
 
ukiingia kwenye page yao ya facebook asilimia 99 wanasena ulichosema wewe nakuhakikishia kama jana shuti la luis lingeingia golini na simba kupata draw leo pitso mosimane alikuwa anafukuzwa ila kwenye comments wengi sana wameisifia simba wanashangaa ilivyobadilika ,ingia fb official page ya alh alhly bonyeza translation ya comments utacheka sana
Binafsi nilifarijika sana kwa ule mchaka mchaka hasa wa dakika zamwisho yani waarabu wenyewe walikua wanaomba mpira uwahi kuisha tu.
 
Simba mzunguko wote huu wa mechi sita karuhusu goli mbili tu.
Kapoteza mechi moja tu kwa goli moja.
Al Ahly wameshinda lakini cha moto wamekiona.Kwenye mpira pia kuna bahati,leo kwa mpira waliocheza Simba na shuti la Mequeson lililogonga post utakubaliana na mimi leo bahati aikua kwa Simba.
Kwa matokeo ya leo mimi kama shabiki wa Simba nimefurahi ukizingatia Simba imeshafuzu kwenda robo.
Ni kweli simba wamecheza vizuri sana,lakini fahamu al ahly iliwakosa wachezaji wake 8 wa first elwvwn kwa majeruhi.
 
Ni kweli simba wamecheza vizuri sana,lakini fahamu al ahly iliwakosa wachezaji wake 8 wa first elwvwn kwa majeruhi.
Sio kigezo,hivi ao wachezaji nane mechi ya kwa Mkapa hawakuwemo?
Kama kweli wachezaji nane wa first eleven wapo nje alafu sub wa waliocheza na Simba wamepata matokeo basi Al Ahly wanakikosi bora wachezaji wanje na wandani.
 
Ni kweli simba wamecheza vizuri sana,lakini fahamu al ahly iliwakosa wachezaji wake 8 wa first elwvwn kwa majeruhi.
Kabla hujaongea hakikisha unakuwa na uhakika na maneno yako usibebe Tu maneno ya vijiweni, hapo kuna vikosi Viwili game ya Al AHLY na As Vita na Al AHLY na Simba, hesabu kuna wachezaji wangapi Wamekosekana hapoView attachment 1748518
Screenshot_2021-04-10-16-17-39-098_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Sio kigezo,hivi ao wachezaji nane mechi ya kwa Mkapa hawakuwemo?
Kama kweli wachezaji nane wa first eleven wapo nje alafu sub wa waliocheza na Simba wamepata matokeo basi Al Ahly wanakikosi bora wachezaji wanje na wandani.
Achana nae huyo mkuu, kikosi cha Al AHLY na Simba kilikosa wachezaji wa 4 kutoka first eleven ambao ata Simba iliwakosa
Lwanga
Morrison
Mzamiru
Mugalu

Kwa lugha nyepesi vikosi vyote vilikosa key players, kwahiyo hoja yake haina mantiki
 
Nimeshangaa hata jana sikuona kama wachezaji wanateseka na baridi wamevaa jezi mikono mifupi wako comfortable nakumbuka zile 5-0 zamwaka juzi yaani walikuwa hadi wanatetemeka, confidence iko juu mno wanatupa moyo sana kwa kweli halafu kuna watu wanakuambia tumfukuze MO tumpe team kigwangwala said bagaile.
Yaani tumpe timu huyu mnafiq? Never
IMG-20210407-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom