Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

live on

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
855
Reaction score
1,365
Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja.

Adam Salamba ni kijana mdogo aliyehitaji malezi ili aisaidie Simba pamoja na Taifa kwa ujumla lakini Simba wamempotezea dira yake.

Kama mmeona hana nafasi ya kucheza katika kilabu yenu ya Simba kwanini msimtoe kwa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayupo simba siku hizi alifukuzwa na Mo baada ya kutokulipwa mshahara kwa miezi minane na kushindwa kununua viatu vya mazoezi mpaka kung'ang'ania viatu vya yule mchezaji wa Spain. Simba walichukulia kama udhalilishaji
 
Nadhani umekurupuka mkuu ukiwa na hamu ya kutoa mapovu kwa Simba, na inaelekea sio mfuatiliaji wa michezo nchini, bali wa matukio ya michezo. Labda tukupe tu taarifa ambayo haujawahi kuipata, na leo ni mara ya kwanza kwako kuipata. Salamba aliuzwa na Klabu ya Simba kwa klabu ya Al Jahra SC kwa sh. 100M huku Salamba akilipwa mshahara wa sh. 9M kwa mwezi
 
Naunga mkono hoja kwa 100%
Kuna yule Kaheza alisajiliwa kwa mbwembwe sijui alicheza mechi ngapi uko umbumbumbuni
Au kama mfungaji bora wa ligi ya Uganda, Juma Balinya, sijui alicheza mechi ngapi pale Simba, maana wakamuacha dirisha dogo
 
Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja
Mahadhi - Simba
Mhilu - Simba
Balinya - Simba
Kabwili - Simba
.
.
.
Hii Simba sio ya kuwapeleka vijana kabisa
 
Kati ya vitu ninayoipendea klabu ya Simba ni kutobania wachezaji. Mchezaji akihitajika na klabu nyingine ataruhusiwa bila longo longo, akashindwe mwenyewe.

Sasa kule Jangwani mlimrubuni Ngasa azime simu alipotakiwa na timu kubwa El mereihk. Tegete pia mkamwambia arudi Dar haraka kutoka sweden kwenye majaribio ili awahi mechi dhidi ya simba.
 
Mahadhi - Simba
Mhilu - Simba
Balinya - Simba
Kabwili - Simba
.
.
.
Hii Simba sio ya kuwapeleka vijana kabisa
Juma mahadhi ni majeruhi ndugu sso utamwona.Kabwili anacheza kama kawaida ,Mhilu hujui ndo wa pili kwa ufungaji bongo baada ya kagere magoli 12.Balinya alikufa kiwango kivipi?Au ndo umbumbumbu wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juma mahadhi ni majeruhi ndugu sso utamwona.Kabwili anacheza kama kawaida ,Mhilu hujui ndo wa pili kwa ufungaji bongo baada ya kagere magoli 12.Balinya alikufa kiwango kivipi?Au ndo umbumbumbu wenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wanaendelea kucheza Yanga? Waliondokaje Yanga? Kwa hiyo Salamba yupo Simba?
 
hivi nmafikiri ile hirizi kubwa kama ngumi aliyo kamatwa nayo mzee kagere siku ile kiwanjani kazi yake ilikuwa kuifunga yanga tuu, hapana, ina kazi nyingi ile kazi mmoja wapo ni 'kuwafunika' ma chipukizi kama akina ajibu, salamba, ndemla etc ili ling'ale lenyewe tuu, sijui ni li-tutsi gani la vile, yaani ile kitu ni 'kill me soft' mizee michawi kama ile ni ya kuifukuza nchi tuu.
 
Kama simba inaua vipaji isinge weza kuchukua ligi kuu tz na kutinga robo fainali klabu bingwa africa.

Narudia tena waambieni hao vijana wanaosajiliwa pale simba sc wakifika mjini wasisahau kilichowaleta pale......

Kama watajituma kwa bidii watafanya makubwa tu, warejee historia ya Mbwana Samatta alikuwa anawahi mazoezini pale taifa asubuhi na mapema....

Wajaribu kujituma tu waone kama vipaji vitakufa kama unabisha mtafute sheva, alipoondoka simba aliondoka na kwenda kujituma hatimae karudi na imani anaendelea kujituma.

Wasukuma wana msemo wao ,"hard work beat talent if talent fail to work hard"

Yangu ni hayo......
 
Mlipili nae amegombana na MO , hapangwi tena hata benchi hakai, ye ni jukwaani tu kawa mtazamaji
 
nawasikitikia sana gadiel Michael, adam Salamba na ndemla…...angalau deogratias munishi kaangukia lipuli baada ya kukaa benchi kweli kweli na kujiongeza ...kweli mkataa pema pabaya panamuita
 
Mkuu hii ni ndoto ya Mwaka gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…