Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Daaah! Tegete kaishia kucheza bonanza tabta shule na kulewa heineken na wana kina matunga adam.Kati ya vitu ninayoipendea klabu ya Simba ni kutobania wachezaji. Mchezaji akihitajika na klabu nyingine ataruhusiwa bila longo longo, akashindwe mwenyewe.
Sasa kule Jangwani mlimrubuni Ngasa azime simu alipotakiwa na timu kubwa El mereihk. Tegete pia mkamwambia arudi Dar haraka kutoka sweden kwenye majaribio ili awahi mechi dhidi ya simba.