Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

Kati ya vitu ninayoipendea klabu ya Simba ni kutobania wachezaji. Mchezaji akihitajika na klabu nyingine ataruhusiwa bila longo longo, akashindwe mwenyewe.

Sasa kule Jangwani mlimrubuni Ngasa azime simu alipotakiwa na timu kubwa El mereihk. Tegete pia mkamwambia arudi Dar haraka kutoka sweden kwenye majaribio ili awahi mechi dhidi ya simba.
Daaah! Tegete kaishia kucheza bonanza tabta shule na kulewa heineken na wana kina matunga adam.
 
Wamuangalie dilunga, mkude, mzamiru, bocco , shomari kapombe, zimbwe , nyoni, aishi manula... Hao wote wanajituma wanacheza kwa bidii na mazoezi ya kutosha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata enzi hizo Lunyamila aliwahi kufanyiwa hivyo alipoitwa kutoka ujerumani kuwahi mechi ya kombe la hedex kati ya Simba na Yanga!

Akapotea jumla
Kati ya vitu ninayoipendea klabu ya Simba ni kutobania wachezaji. Mchezaji akihitajika na klabu nyingine ataruhusiwa bila longo longo, akashindwe mwenyewe.

Sasa kule Jangwani mlimrubuni Ngasa azime simu alipotakiwa na timu kubwa El mereihk. Tegete pia mkamwambia arudi Dar haraka kutoka sweden kwenye majaribio ili awahi mechi dhidi ya simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja.

Adam Salamba ni kijana mdogo aliyehitaji malezi ili aisaidie Simba pamoja na Taifa kwa ujumla lakini Simba wamempotezea dira yake.

Kama mmeona hana nafasi ya kucheza katika kilabu yenu ya Simba kwanini msimtoe kwa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji anapitaka kusajiriwa lazima aangalie nafasi yake ya kucheza kwa kuchunguza aina ya wachezaji atakaogombania nao namba kwenye timu mpya. Ndo maana wenzetu walioendelea wanaweka kipengele cha malipo kuongezeka endapo mchezaji atafanikisha mafanikio fulani.
SALAMBA alimwenda Simba kishabiki akijua wazi wachezaji atakaopambania nao namba wako juu sana zaidi yake hivyo atatakiwa kutokea benchi. Kuna timu zilikuwa na nafasi ya yeye kucheza moja kwa moja lakini akazikacha, matokeo yake anasubiri Kagere astaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja kwa 100%

Kuna yule Kaheza alisajiliwa kwa mbwembwe sijui alicheza mechi ngapi uko umbumbumbuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Pius Buswita alitamba na Mbao. Mwaka juzi akasajiliwa Simba na Yanga. Yanga wakamliliaaaa mpaka Simba wakawaonea huruma wakamruhusu achezee Yanga. Leo hayupo Ligi Kuu. Nadhani Simba ndio waliharibu kipaji chake
 
Salamba aliuzwa Namungo kabla hajacheza mechi hata moja akapata Al-Jahra analipwa 9m kwa mwezi hayupo simba siku nyingi sana

FC
Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja.

Adam Salamba ni kijana mdogo aliyehitaji malezi ili aisaidie Simba pamoja na Taifa kwa ujumla lakini Simba wamempotezea dira yake.

Kama mmeona hana nafasi ya kucheza katika kilabu yenu ya Simba kwanini msimtoe kwa mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Chura mpira haukufai kashabikie rede utaona hata chupi Salamba atakaa vipi benchi Simba wakati yeye sio mchezaji wa Simba?
 
Back
Top Bottom