Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

Daaah! Tegete kaishia kucheza bonanza tabta shule na kulewa heineken na wana kina matunga adam.
 
Wamuangalie dilunga, mkude, mzamiru, bocco , shomari kapombe, zimbwe , nyoni, aishi manula... Hao wote wanajituma wanacheza kwa bidii na mazoezi ya kutosha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata enzi hizo Lunyamila aliwahi kufanyiwa hivyo alipoitwa kutoka ujerumani kuwahi mechi ya kombe la hedex kati ya Simba na Yanga!

Akapotea jumla
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji anapitaka kusajiriwa lazima aangalie nafasi yake ya kucheza kwa kuchunguza aina ya wachezaji atakaogombania nao namba kwenye timu mpya. Ndo maana wenzetu walioendelea wanaweka kipengele cha malipo kuongezeka endapo mchezaji atafanikisha mafanikio fulani.
SALAMBA alimwenda Simba kishabiki akijua wazi wachezaji atakaopambania nao namba wako juu sana zaidi yake hivyo atatakiwa kutokea benchi. Kuna timu zilikuwa na nafasi ya yeye kucheza moja kwa moja lakini akazikacha, matokeo yake anasubiri Kagere astaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja kwa 100%

Kuna yule Kaheza alisajiliwa kwa mbwembwe sijui alicheza mechi ngapi uko umbumbumbuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Pius Buswita alitamba na Mbao. Mwaka juzi akasajiliwa Simba na Yanga. Yanga wakamliliaaaa mpaka Simba wakawaonea huruma wakamruhusu achezee Yanga. Leo hayupo Ligi Kuu. Nadhani Simba ndio waliharibu kipaji chake
 
Salamba aliuzwa Namungo kabla hajacheza mechi hata moja akapata Al-Jahra analipwa 9m kwa mwezi hayupo simba siku nyingi sana

FC
 
We Chura mpira haukufai kashabikie rede utaona hata chupi Salamba atakaa vipi benchi Simba wakati yeye sio mchezaji wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…