Simba wanavyohangaika na goli la Sakho

"Ukimtoa Kikwete na baba manara mashabiki wa Yanga wote waliobaki hawana akili " manara voice
Namshukuru sana Allah kunipa nafasi ya kuishi na wenzangu weusi ila pia kuishi na weupe!! ninajitambua na nitatambua nafasi za wengine!
yaani baadhi yetu weusi akili zetu ni ndogo tu! hii kauli ya Haji kuhusu wanayanga hawana akili imekuzwa mno ili wanasimba kujifariji!

Haji is a normal person who has the right to share what he feels or think, and what Haji says can be said by any person hata wa kibanda umiza cha matombo !! And other people also have the right to say what they feel or think, which do not justify to be true!
And what Haji says does not mean it is true or wrong!! si karopoka tu!

Kulazimisha kauli za Haji kuwa Wanayanga hawana akili ni ujuha!! Ye alijiropokea zake tu kunogesha utani apate ugali wake!

Simba tafuteni kingine, hivi wananchi ujinga wao uko wapi mnavyolazimisha? kuwatanieni kuwa Kolo FC kwa kukosa makombe yote na kuwapasua CCM Kirumba? Wanayanga kushangilia timu yao pira biriani ujinga wao uko wapi? wanayanga kupiga fataki Arusha kushangilia kombe kimataifa ujinga wao uko wapi?
 
Hilo halifutiki kama vile msahafu mtume Muhammad anasema"Innamal amaalu binniyaat" Hakika kila tendo kwa nia maana yake mtu unuia jambo analolifanya ukimuona mtu anafanya jambo lipo moyoni mwake hayo maneno hayafutiki mpaka siku haji atakapokufa ndio tutaacha kuyatumia
 
Lile ni goli bora Afrika halafu unaleta ngonjera zako?

Haya tuambie huko utopolo, nani wa kwenu aliwahi kufunga goli bora Afrika likapewa tuzo?

Huwezi kumringishia mnyama ubingwa aliouchukua mara tatu mfululizo, siku zote mnyama yuko juu yenu kwa kila angle, mnyama ni next level.
 
Well said
 
Ukijumlisha na hasira za kamshahara kalikoingia jana mleta uzi jiandae kupopolewa sana. πŸ˜…πŸ˜…
 
Tanzania kuna watu wapumbavu sana na wewe nakuunganisha kwenye list..
 
Ukijumlisha na hasira za kamshahara kalikoingia jana mleta uzi jiandae kupopolewa sana. [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani mbna hamna furaha, akati nyie ni Mabingwa????

Mnateseka na kipiiiiii? Maumivu badooo ndo mwanzoo huu.

Byuti byuti
 
Kwisha habari yako, tayari sindano imegusa mfupa na kukatikia ndani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wee na huo ubingwa wako, unaumia na kipi kwa Goal la Sakho???? Mbna Bado maumivu ndo kwanzaaa yaanza kutonokaa.
Weraaaaaaah byuti byuti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani mbna hamna furaha, akati nyie ni Mabingwa????

Mnateseka na kipiiiiii? Maumivu badooo ndo mwanzoo huu.

Byuti byuti
Kwa hiyo nyie wenye furaha ndo kama hii ya kombe la Sakho na lile la robo fainali. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii kauli ya kwamba hatuna furaha ni kauli tu kama zile kauli zenu zingine ambazo kwa mnaitumia kujifariji kiukweli nikwambie si tuna furaha tena ile ya kutosha. πŸ˜€
 
Suit yourself
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani mnaumia ndani kwa ndani, kelele mnatoa nje. Ubingwa mnao ila bado furaha imeyeyuka yeyuuuuuu!!

Sakho awakilisha Taifa na Team yetu ulimwenguni. Weraaaaaaaaah. Bado usilie sahivi, maumivu halisi yanakujaaa.

Byuti byuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…