balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Aden Rage alisema Simba wote ni Mbumbumbu.Na kwa kusema hivyo alimaanisha Simba wote akiwemo na yeye.Namshukuru sana Allah kunipa nafasi ya kuishi na wenzangu weusi ila pia kuishi na weupe!! ninajitambua na nitatambua nafasi za wengine!
yaani baadhi yetu weusi akili zetu ni ndogo tu! hii kauli ya Haji kuhusu wanayanga hawana akili imekuzwa mno ili wanasimba kujifariji!
Haji is a normal person who has the right to share what he feels or think, and what Haji says can be said by any person hata wa kibanda umiza cha matombo !! And other people also have the right to say what they feel or think, which do not justify to be true!
And what Haji says does not mean it is true or wrong!! si karopoka tu!
Kulazimisha kauli za Haji kuwa Wanayanga hawana akili ni ujuha!! Ye alijiropokea zake tu kunogesha utani apate ugali wake!
Simba tafuteni kingine, hivi wananchi ujinga wao uko wapi mnavyolazimisha? kuwatanieni kuwa Kolo FC kwa kukosa makombe yote na kuwapasua CCM Kirumba? Wanayanga kushangilia timu yao pira biriani ujinga wao uko wapi? wanayanga kupiga fataki Arusha kushangilia kombe kimataifa ujinga wao uko wapi?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app