Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo no 7, uliposema CAF hawajaliona, ilibidi wee ndo ukalionesheee, kwan ulikwamaaa wapi???Simba msimu huu hawakua na cha kushangilia..ndiyo maana ukaona wakaamua
1) wamshabikie george mpole
2)Sopu
3)Washangilie Mayele kukosa kuwa mfungaji bora
4)Washangilie eti Yanga hajasafiri kwenda pre season camp
5)Washangilie Haji Manara kufungiwa miaka miwili
6)Washangilie usajiri
7)Na sasa Goli la Sakho..ambalo ukilipima na lile la Mayele la tik tak kali alilolifunga ktk ligi yetu la Mayele ni bora zaidi tena mara tatu! Ni vile tu CAF hawajaliona.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwann utesekeeee?? Kwann uumie??Sasaivi Simba wanasherehekea habari ya Rais wa Senegal kumpongeza Sakho
Chura wa njano mnateseka kwa wivu.. washirikina hawaendi peponi.Simba msimu huu hawakua na cha kushangilia..ndiyo maana ukaona wakaamua
1) wamshabikie george mpole
2)Sopu
3)Washangilie Mayele kukosa kuwa mfungaji bora
4)Washangilie eti Yanga hajasafiri kwenda pre season camp
5)Washangilie Haji Manara kufungiwa miaka miwili
6)Washangilie usajiri
7)Na sasa Goli la Sakho..ambalo ukilipima na lile la Mayele la tik tak kali alilolifunga ktk ligi yetu la Mayele ni bora zaidi tena mara tatu! Ni vile tu CAF hawajaliona.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hahahaa. Amka usingizini Mtani hizi kauli zako ni kama umelala unaota. 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani mnaumia ndani kwa ndani, kelele mnatoa nje. Ubingwa mnao ila bado furaha imeyeyuka yeyuuuuuu!!
Sakho awakilisha Taifa na Team yetu ulimwenguni. Weraaaaaaaaah. Bado usilie sahivi, maumivu halisi yanakujaaa.
Byuti byuti.
UsitupangieJaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi.
Pia, haliondoi ukweli kwamba mmepigwa na Yanga mara mbili na kunyang'anywa vikombe (Sakho akiwa ndani).
My advice: shughulikeni na tatizo la kufanya vibaya kwenye AWAY GAMES (mechi za Dar mmefanya vzr kuliko Yanga). Vinginevyo mtaendelea kushangilia goli bora hadi mwakani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani utulie, maumivu enyewe yanakujaaa.Hahahaa. Amka usingizini Mtani hizi kauli zako ni kama umelala unaota. [emoji28][emoji28]
Jaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi.
Pia, haliondoi ukweli kwamba mmepigwa na Yanga mara mbili na kunyang'anywa vikombe (Sakho akiwa ndani).
My advice: shughulikeni na tatizo la kufanya vibaya kwenye AWAY GAMES (mechi za Dar mmefanya vzr kuliko Yanga). Vinginevyo mtaendelea kushangilia goli bora hadi mwakani
Mwenye ng'ombe alifunga magori mazuri sana msimu huu. Akapewa tuzo, lkn mashabiki wa Yanga wametulia tu. Ila nyie hamlali kwa goli la Sakho
Simba msimu huu hawakua na cha kushangilia..ndiyo maana ukaona wakaamua
1) wamshabikie george mpole
2)Sopu
3)Washangilie Mayele kukosa kuwa mfungaji bora
4)Washangilie eti Yanga hajasafiri kwenda pre season camp
5)Washangilie Haji Manara kufungiwa miaka miwili
6)Washangilie usajiri
7)Na sasa Goli la Sakho..ambalo ukilipima na lile la Mayele la tik tak kali alilolifunga ktk ligi yetu la Mayele ni bora zaidi tena mara tatu! Ni vile tu CAF hawajaliona.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwani tunapangiana cha kushangilia... Utopolo tupuMijitu mizima kujitoa ufafamuView attachment 2300905
Shoga wewe hakuna basha anakukataaSema unavutia sana. Hakuna mwanaume atakukataa
Hata Yanga wakitamba na Ng'ombeJaman hili ni goli tuuuuu na haliondoi ukweli kuwa mmekuwa na poor performance in 2021/22 season. Aidha, Haliondoi the fact kwamba mmepigwa na Prisons, Mbeya city na Kagera kwenye ligi.